Heh,nilikua nadhani kiranga ua huamini kitu juu ya mambo ya imani za dini kwa kua huwezi kudhibitisha(kama ambavyo umekua ukisema)
"Roho mtakatifu" hii haidhibitiki kua yupo au hayupo,iweje leo mtu wa kisayansi kama wewe unajifananisha na "some beliefs"
..... Sorry 4 taking u out of the topic.....
.....am i mistaken or i ddnt get at your point!?
Metaphor na simile hutumika mithilisha vitu tuvijuavyo ili kukuza uzito wa hoja au ujumbe...
hahahah kiranga unajichanganya sana duh
Naona tunaelewanaa sasa maana umenijibu Kiswahili nimekuelewaa ee unaona mavizungu yako yanawaletea watu shidaa umeshazimikiwaa sasaa yote umeyataka wewe
Kuna sehemu nilikuona unachana mistariiii aisee we mkareeee
Ukisema "I am stronger than Hulk, bigger than King Kong" unatoa simile kuonyesha kwamba una nguvu na ni mkubwa sana. Kama hao fictional characters Hulk na King Kong.
Hilo halimaanishi kwamba unakubali kwamba Hulk na King Kong wapo kweli outside of the fiction world.
Ila Moyes!!!!!!!!!!!
Huwezi kulinganisha vitu usivyovijua.......
Kuvilinganisha katika context gani?
King Kong kama fictional character namjua, kwa hiyo naweza kumlinganisha katika context hiyo.
Ditto the holy spirit.
You missed the sarcasm
Hahah ulisema upo kila sehemu kama roho mtakatifu....
Sarcasm pia hufanywa kwa kutumia vitu tunavyovijua....
Hahah ulisema upo kila sehemu kama roho mtakatifu....
Sarcasm pia hufanywa kwa kutumia vitu tunavyovijua....
sarcasm = A tongue of which the user speaks
of something the complete opposite of
what the user means.
sarcasm = A tongue of which the user speaks
of something the complete opposite of
what the user means.
Obviously hujaweza kunisoma.
Hata roho mtakatifu, the fictional character, namjua kutoka the fiction that is the bible.
Kwa hiyo naweza kufanya metaphor, simile na sarcasm in that context.
Kama ninavyoweza kusema "nina shabaha kama James Bond" nikijua wazi kwamba James Bond is a fictional character.
Haya naona tunaenda kwenye mada ambayo wengine tu/watashindwa kushirik vyema kwakua uelewa wetu juu ya hayo mambo si mkuubwa kihivyo...
Kiranga,snipa na lusungo
Naomba turejee kwenye mada yetu ya mwanzo...
WATU WENYE MAJINA MAKUBWA NA KAZI ZAO..
I know some of u are one or even more step ahead at one or more things...include the language kwahyo naomba tuwe na tabiya ya kutambua hivyo ktk matumizi ya lugha nyepes na yakueleweka kwa wote,otherwise mnaweza mkawa mnazunguka kichaka bure kumbe wote mnakua na maana moja sema tu lugha haikutumika vyema kwenye kuwasiliana......
Umeelewa lakini nilichoandika?
Naelewa sarcasm ni nini na ndo mana nikaandika nilichoandika..period
it was my contemplation mkuu ain't meaning that you didn't know about it! though Sarcasm isn't a cloze test
kwahyo naomba tuwe na tabiya ya kutambua hivyo ktk matumizi ya lugha nyepes