Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Heh,nilikua nadhani kiranga ua huamini kitu juu ya mambo ya imani za dini kwa kua huwezi kudhibitisha(kama ambavyo umekua ukisema)
"Roho mtakatifu" hii haidhibitiki kua yupo au hayupo,iweje leo mtu wa kisayansi kama wewe unajifananisha na "some beliefs"
..... Sorry 4 taking u out of the topic.....
Hahahah hivi ulikuwa huja notice kuwa jamaa huwa ni mbishi tu??? hahah huyo ndo kiranga mtoto wa uzaramoni mkuranga.....