Watu wenye majina makubwa kuliko kazi zao!


Kulaaaleki. Kulaaleki wallahi.
 
na wengine wana bahati mbaya, wana uwezo mkubwa kuliko majina yao, adam jonhson( sunderland player),grace matata,roberto di matteo(shalke)
 
Na Chuo cha ifm kina jina kubwa kuliko product wanazo toa...
Ha ha ha ha...

Au basi nafuta kauli yangu...
 
Mi naona kwenye hii mada Ravanelli anahusika mno...!!! Maana Kama ni mawaziri wakuu bora waliowahi kuwepo ktk Tanzania yetu yeye Hata ktk 3 bora hayumo...!!!

Lakini kelele ni nyingi sana mjini.. Huyu jamaa utafikiri....!!!


kaka umenikumbusha mbali ravanelli, juve & boro player, anapiga bao alafu anajifunika na jezi ,
 
Petitman wakuache... anayejua shughuli ya huyu jamaa atujuze tafadhali
 

yah yah boss! i come to see me about hallowed spirit,you deriding me after you,ok ok?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…