Watu wenye majina makubwa kuliko kazi zao!

Watu wenye majina makubwa kuliko kazi zao!

Kuna baadhi ya watu maarufu ndani na nje ya bongo wenye majina makubwa kabisa lakini kazi zao ni kidogo au hazieleweki au hazilingani na uzito wa majina yao ktk jamii.
Kwa mawazo yangu nitalist watu wachache hapa!

1.WEMA SEPETU.
Kazi za huyu mdada nizujuavyo ni muigiza muvi na kumiliki kampuni na ni kazi ambazo si kuubwa kivile kulingana na jina lake.

2.STEVE NYERERE
jamaa alijichukulia umaarufu kwa kuigiza sauti ya mwl.jk na baadae akapindukia kwenye uemsii na movie acting...ofcoz kazi anazo zifanya ni nzuri lakini jina lake nikubwa saana ktk jamii kuliko hizo kazi.

3.MWIGULU NCHEMBA
jamaa ni naibu waziri wa fedha na nikiongozi ktk chama cha ccm.tofauti na wanasiasa wenzake huyu jamaa jina lake limevuma sana nakugeuka kua kubwa kiasi kwamba halilingani na kazi zake.

4.MAMA KANUMBA
huyu ni mama wa muigizaji maarufu marehem stv.kanumba....jina lake limeanza kutawala media karibu na kipindi cha mwisho mwanae yuko duniani lakini likavuma zaidi baada ya kifo cha mwanae.
Nisikiavyo kwa sasa anaigiza lakini ukweli ni kwamba pamoja na kazi hiyo ya uigizaji baado jina lake ni kuubwa sana kulingana na kazi yake.

5.HEMED PHD
jamaa ni muigizaji na mwnamuziki..alianza kujulikana kupitia tusker project fame na baada ya hapo umaarufu wake umepanuka kiasi kwamba nimkubwa kuliko kazi azifanyazo.

6.KIM KADASHIAN
ni demu wake kanye wizzle pia anashirik kwenye tv show ya familia yao.amekua na scandals nyingi lakin yenye umaarufu ni ile ya sex tape yake na ray jay.binafsi namuona ana jina kubwa kuliko kazi zake.

7.LUPITA NYONG'O
ni mkenya aliekulia mexico na kwa sasa anaishi marekani.amepata umaarufu baada ya kushiriki ktk movie ya 12years a slave na movie hiyo pekee imempa tuzo zaidi ya 25 ikiwemo ile maarufu ya oscar.na ni juzi tu ametokelezea kwenye mistar ya wimbo wa jayz(we made it).jinsi jina lake linavyo ng'aa si sawa na kazi zake zilivyo kwa sasa

8.DAVID MOYES
Jamaa ni kocha wa the red devils..jina lake limevuma sana baada ya kukabidhiwa timu na babu (sir) na baada ya hapo akaanza kuchezea kichapo mpaka na timu za mchangani.
Jina lake ni kubwa kuliko kazi yake.

.......na wewe tuwekee wa kwako hapa!

Naomba na majina madogo lakin kazi zao zinaonekana tafadhali...!
 
Naomba na majina madogo lakin kazi zao zinaonekana tafadhali...!

Mbona kibao,..

Alafu swala si majina madogo no!
Ni majina makubwa pia ispokua uzito wa jina lake ni mwepesi ukilinganisha na kazi/productivity yake

Eg, fid q, jay mo, kafulila, masoud kipanya, jaji warioba, mr blue, wengine ongezea
 
Hana uwezo wa kuuza ngada.....!!

Mmh, yaelekea unajua watu sana mkuu, vipi kuhusu jamaa anaitwa Richard Ndaki, ana biz gan? Jina lake kubwa sana hapa town!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Racist at work

Me mwenyewe nakubaliana na jamaa pamoja na Snipa, Lady Gaga ni Mwanamitindo au km sio mchekeshaji na vituko2 na anasahau kaz yake ya mziki. Naona kaiga jina na vituko vya Lady Madona? Mwenzie Madonna kilikuwa kipaji af licha ya vituko lkn ikifika wakati wa mziki alikuwa hana masiala, anafanya kweli. Madonna, Michael Jackson, Elton John n.k licha ya mambo yao binafsi lkn walikuwa serious kwenye mziki. Lady Gaga anawaza akaonyeshe style gani ya chupi jukwaani wkt MJ alikuwa anafikiria moonwalk style ili kuwavutia mashabiki. Beyonce anajitahidi lkn Lady Gaga is a comedian, watu hawamzimii kwa mziki wake ila vituko vyake km Mr.Bean. Yani saiz POP music imebaki history tu, hakuna aliye serious wote wauza sura tu
 
Sema mada ya leo inahusiana na watu lakini ingekua inahusisha na mahali pia ningesema hata SINZA ina jina kubwa kuliko hata kinachoendelea ktk eneo hilo, eti kwa wanjanja, sijui wa kishua n.k
Wakati eneo hili ni la watu wa middle class ambao nature ya wakazi wake ni watumiaji zaidi kuliko kufanya kazi,
Sasa swali huwa lina rudi kichwani how do they survive wakati wana expenses nyingi kuliko nature za kazi zao!?
Hapo ndo utakuta neno KWA WAJANJA linakuja, ujanja wenyewe unatokana na utapeli, ngada, biashara ya mwili kwa dada zetu, 0713... Kwa kaka zetu, kupangisha nyumba,bar n.k..

NB:source anonymous
 
Nimekaa nimemfikiria huyu ALI KIBA nimefuatilia nyimbo zake zoote, na hata hivyo mimi ni shabiki wake,
Lakini nimekuja kugundua kua kazi zake ni ndogo sana kulingana na uzito wa jina lake alilo nalo.

Nilicho gundua kua anapromo kubwa kuliko viji nyimbo vyake, yaani ni vya kitoto na vingi havina maana kisanii hasa hiki alicho achia juz juz ni kibaya hatari mpaka nafikiri kuacha kumshabikia.
 
We acha kumshabikia tu unafikir utampunguzia kitu gani ?

Umeshawahi kwenda kwenye show zake ngapi?

Umewahi kununua album yake ?
 
We acha kumshabikia tu unafikir utampunguzia kitu gani ?

Umeshawahi kwenda kwenye show zake ngapi?

Umewahi kununua album yake ?

Ebu zungumza kiswahili ili tuelewane.. Maana naona sikusomi kabisa kwa lugha yako hii
 
Nimekaa nimemfikiria huyu ALI KIBA nimefuatilia nyimbo zake zoote, na hata hivyo mimi ni shabiki wake,
Lakini nimekuja kugundua kua kazi zake ni ndogo sana kulingana na uzito wa jina lake alilo nalo.

Nilicho gundua kua anapromo kubwa kuliko viji nyimbo vyake, yaani ni vya kitoto na vingi havina maana kisanii hasa hiki alicho achia juz juz ni kibaya hatari mpaka nafikiri kuacha kumshabikia.

We jamaa huna dalili zozote za kuwa mwanaume trust me!
 
We jamaa huna dalili zozote za kuwa mwanaume trust me!

Kwasababu wewe sio mwanaume basi unafikiri kila mtu sio mwanaume?
Huo uwanaume unaupima kwa vigezo gani? Kwa kumshangilia ali kiba!?
 
acheni kashfa,na tabia za kike na hakuna ulazima wa yeye kukubalika na kila coz hata diamond anayefanya vizur hakubaliki na kila mtu so hakuna ulazima wa wewe kumkubali coz mpaka unamfahamu ina maana umefuatilia kazi zake.acha ushoga pigana na maisha yako ujikomboe coz kwa mawazo yako tu naamini huna hata kitanda na unakula kwa mama! pambafu
 
Asante wewe mwenye kitanda na unakula kwa baba..
Msagaji mkubwa wee!
 
Back
Top Bottom