Watu wenye majina makubwa kuliko kazi zao!

Mi naona kwenye hii mada Ravanelli anahusika mno...!!! Maana Kama ni mawaziri wakuu bora waliowahi kuwepo ktk Tanzania yetu yeye Hata ktk 3 bora hayumo...!!!

Lakini kelele ni nyingi sana mjini.. Huyu jamaa utafikiri....!!!
 
Exactly, obviously I cannot be everywhere at the same time, so my saying so was sarcastic, saying I am everywhere while meaning I can't be.

Some of us need literature 101.

Kiranga mbona unajichanganya?? Mimi nimejikita kwenye neno ulilosema upo kila mahali kama roho mtakatifu..... lengo langu si kukataa au kukubali lengo langu ilikua kushangaa Leo unamkubali roho mtakatifu si zaidi ya hayo.....

literature nimeisoma sana kwahiyo hizo figures of speech nazipata sana.....
 
Kusema kwamba nina kumbukumbu kama Willy Gamba hakumaanishi kwamba naamini kwamba Willy Gamba ni mtu ambaye yupo na si fictional character wa kutungwa na Aristablus Elvis Musiba.

Nikueleze hili mara ngapi?
 
First of all, my diction is not necessarily aimed at the general public, it may be very well aimed at a Pythagorean sect straight out of some long lost Alexandrian scrolls.

Second of all, the highfalutin notion that there is a formula to life, and some people/ professions/ styles are more important and elevated than others is repugnant and insulting.

Third of all, do you, and let others do them. If you don't feel them, don't knock those who do.

Fourth of all, if you are wasting your time deriding people with supposedly no value to society, then it follows that you have even less input.

usage of language which is unknown to a receiver is also wastage of time.....

wenzio wanataka kiswahili we unawakazania na kiingereza chakavu hawakuelewi tumia lugha wanayoitaka basiiii
 
Kusema kwamba nina kumbukumbu kama Willy Gamba hakumaanishi kwamba naamini kwamba Willy Gamba ni mtu ambaye yupo na si fictional character wa kutungwa na Aristablus Elvis Musiba.

Nikueleze hili mara ngapi?

Unawezaje kumtaja willy gamba bila kumjua?
 
usage of language which is unknown to a receiver is also wastage of time.....

Who is "a receiver"?

How do you know whether "a receiver" understands my language or not?

You obviously understood me enough to reply intelligibly.

How do you know that my language is unknown to all?

Unanikumbusha habari ya rais mmoja alikuwa anahutubia, akauliza, hapo nyuma mnanisikia?

Wakamjibu "Hatukusikii".

Akawauliza kama hamnisikii mmejuaje kwamba nawauliza kama mnanisikia na kunijibu hamnisikii?
 
Who is "a receiver"?

How do you know whether "a receiver" understands my language or not?

You obviously understood me enough to reply intelligibly.

How do you know that my language is unknown to all?

Huyo uliyemjibu hapo juu amekwambia dhahiri kuwa hakuelewi sasa unalazimisha nini kumwandikia kiingereza?

code mixing and code switching inalenga kupunguza hadhira sasa kwanini unaipunguza hadhira inayokuhitaji??

teh teh teh
 
Unawezaje kumtaja willy gamba bila kumjua?

Hili swali nishakujibu hapo juu nilipoongelea context.

Inaonekana ama hunisomi, unanisoma lakini hunielewi, au unanielewa na kuendeleza ligi.

Namjua Willy Gamba kama fictional character, hili halinifanyi niweze kwenda Palm Beach Hotel alipokuwa anakunywa in fiction na nianze kumuulizia kama kapita hapo hivi karibuni.

Nitaonekana mwehu.
 
Okey basi nyie mnao jua saaana jadilini mkimaliza nasisi wa mchangani tutaendelea...
maana naona hapa kuna watu wanjua kupinga mpaka wanaanza kujipinga wenenyewe...
 
Huyo uliyemjibu hapo juu amekwambia dhahiri kuwa hakuelewi sasa unalazimisha nini kumwandikia kiingereza?

code mixing and code switching inalenga kupunguza hadhira sasa kwanini unaipunguza hadhira inayokuhitaji??

teh teh teh

Kama hanielewi kawezaje kunijibu vizuri tu?

Kwa kiingereza hichohicho anachosema hakielewi tena!
 
Okey basi nyie mnao jua saaana jadilini mkimaliza nasisi wa mchangani tutaendelea...
maana naona hapa kuna watu wanjua kupinga mpaka wanaanza kujipinga wenenyewe...

Kupinga mpaka kujipinga mwenyewe ndiyo level ya kilele cha ujuaji.

Thesis, antithesis, sythesis like neo-Kantian/ Hegelin dialects.

Mapinduzi daima kama TVZ.

Hakuna kulala.
 
Kupinga mpaka kujipinga mwenyewe ndiyo level ya kilele cha ujuaji.

Thesis, antithesis, sythesis like Hegelin dialects.

Mapinduzi daima.

Hakuna kulala.

Hahahahah mkuu hebu tuwaachie uwanja wao teh teh teh
 
Kama hanielewi kawezaje kunijibu vizuri tu?

Kwa kiingereza hichohicho anachosema hakielewi tena!

Hajakujibu amesema turudi kwenye mada kwani tunayojadili hayaelewi...
 
Okey basi nyie mnao jua saaana jadilini mkimaliza nasisi wa mchangani tutaendelea...
maana naona hapa kuna watu wanjua kupinga mpaka wanaanza kujipinga wenenyewe...

Mkuu katika mijadala kama hii kunaweza kutokea mnakasha mpana zaidi...
Mfano unaweza kumjadili JK juu ya jambo Fulani then hilo jambo tena linaweza kuzaa hoja nyingine na nyingine...

Ndo mijadala inavyokuwa hoja huzaa hoja ila samahani kwa kuwakwaza ingawa tuliyojadili yalizaliwa na hoja ya awali hivyo usiseme Mimi au Kiranga ni wajuaji sana laa isipokua tulichangia hoja iliyozaa hoja....

Samahani kwa usumbufu ulojitokeza......
 
Last edited by a moderator:

Churchill said modest people have much to be modest about.

Kwangu mtu akiniambia najiona mjuaji I take that as a compliment.
 
worry out kiranga!

Commend Pope paul

''Stupidity is a gift of God, but one mustn't misuse it'' (Pope John Paul II)

!
 
Back
Top Bottom