You'll love them my dear!May this type of men never locate me!
Amen!
Mmh ulikua unapumulia wapi chupa ikijaaDegree ya kwanza mpaka namaliza sijawai chakata mbususu/ papuchi hata moja.
Au sisi tulikua good behaved personnel βΊοΈππ
Umenikumbusha kuna mwamba kipindi tunasomachuo hapo jalalani alikuwa anajiita nyoka, mrefu, mweusi, mwembamba. Anasema yeye kila mwanamke atakayemtaka anamla na kweli alikuwa anawanyoosha. Usiku akirudi room yeye na rafiki yake wanajadili listi ya madem tu na mipango yao.
We ni kicheche sio!?Thats not my case π
Mkuu mbona una speed sana? Kwa hiyo kwa umri wako umeshatembea na wanawake wangapi?π€£π€£Mmh 13 wachache sana mkuu hata kwa mwaka mbona wanafika tu.
Hapo umejibana sana
Kwanzia September 29 hadi leo ni 23 maana nilikaa miezi 8 bila kulomba mtu kwaiyo ikawa fungulia mbwa sababu ya nyege ila saivi nakaa tena mwaka bila kulomba nisije nika overdose πππMkuu mbona una speed sana? Kwa hiyo kwa umri wako umeshatembea na wanawake wangapi?π€£π€£
Hahah dahHuyo aliyekufuata kukuomba umwachie mchumba wake, ungelimtoza hela.
Mi niliwahi kula rushwa ya ngono kwa mjinga kama huyo.
Na rushwa ya ngono niliyokula siyo ya kufanya mapenzi na mwanamke, bali ni rushwa ya pesa ili niliachilie jimbo jamaa aoe.
Alinifuata kama ulivyosema: 'ooh brother huyo ni mchumba wa brother angu, kachumbia karudi mjini anataka kuja kufunga naye ndoa'.
Nikamwambia anirudishie gharama nilizotoa ili niachie jimbo, vinginevyo kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake,akakubali kunilipa fidia nikampisha.
Duh, mbona idadi kubwa sana mkuu!!π€£π€£Kwanzia September 29 hadi leo ni 23 maana nilikaa miezi 8 bila kulomba mtu kwaiyo ikawa fungulia mbwa sababu ya nyege ila saivi nakaa tena mwaka bila kulomba nisije nika overdose πππ
Cc kataa ndoa
Pesa imetumika pia sio bure bure ππDuh, mbona idadi kubwa sana mkuu!!π€£π€£
Aseee watu na bahati zao kwa kweliNiliposikia kuhusu tabia za Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, alinikumbusha rafiki yangu wa chuo. Rafiki huyu alikuwa na tabia zinazofanana sana na huyu Engonga, hasa katika masuala ya wanawake.
Nakumbuka nilipokuwa mwaka wa kwanza chuo, tulikutana na huyu jamaa na tukawa marafiki wakubwa. Tabia zetu zilifanana kiasi, ila yeye alinizidi kwa kiwango kisichokuwa na mipaka. Katika semesta ya kwanza, tayari alikuwa ametoka kimapenzi na wasichana zaidi ya 14 wa chuoni. Kufikia semesta ya pili, alianza kuhamia hadi vyuo jirani, na kufikia jumla ya wasichana 25 aliofanikiwa kuwa nao kwa mwaka wa kwanza.
Mambo yalizidi zaidi alipofanikiwa kuwa kiongozi kwenye serikali ya wanafunzi kama waziri wa loans chuoni. Katika mwaka wa pili, semesta zote mbili, alitembea na wasichana 75 na wamama watatu. Alipofika mwaka wa tatu, hali ilizidi kuwa mbaya zaidi. Kilichonisikitisha ni jinsi alivyorekodi kila mahusiano kwenye daftari lake, kila alipotembea na msichana, jina lake lilikuwa kwenye orodha. Aliweza hata kuwatongoza na kutembea na lecturers wawili wa kike bila uwoga wowote, kuna siku alikuja mzazi wa mwanafunzi mwenzetu ili atoe taarifa za kuuguabkwa mwanae muda mrefu bahati akakutana na mwamba kwenye corridor za chuo mwamba alimwelekeza ofisi zilipo ila baada ya wiki akala na yule mzazi.
Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
Kuanzia wakati huo, nilianza kumhofia rafiki yangu. Nilihakikisha hajui kuhusu mahusiano yangu yoyote, maana nilihisi hana mipaka. Nilipomuuliza kama alikuwa na "dawa" ya kumwezesha hali hii, alisema hapana, kwamba hilo lilikuwa "la kawaida" kwake.
Mimi kwa upande wangu, katika miaka yote mitatu ya chuo nilikuwa na mahusiano na wasichana 13 tu, na nilihisi kama hiyo tayari ilikuwa zaidi. Baada ya kumaliza chuo, niliamua kuachana na tabia hizi na kuoa.
Rafiki yangu yule alikuwa na akili nyingi, na alikuwa na uwezo mzuri kitaaluma na kijamii pia alikuwa smart sana kimavazi na muonekano wake vilikuwa safi, na alikuwa na mvuto mkubwa kwa watu wengi. Lakini mimi nilijua upande wake wa pili, ambao hata wanaompenda hawakuwa na ufahamu nao.
Kwa sasa jamaa yangu ana cheo kikubwa kazini, na kila tunapoongea namkumbusha kuwa kitu pekee kinachoweza kumuangusha ni tamaa za wanawake. Japo ananiambia amebadilika, bado nina wasiwasi. Kuna watu ambao tamaa zao zimepitiliza katika masuala ya ngono, kama huyu Engonga na rafiki yangu, ambao wanahitaji msaada wa wanasaikolojia ili waweze kudhibiti tabia zao. Maana, ukiwa na tamaa hizi, unaweza kuwa na msichana mmoja leo na dakika tano baadae ukamhitaji mwingine β bila hisia yoyote.
Niliposikia kuhusu tabia za Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, alinikumbusha rafiki yangu wa chuo. Rafiki huyu alikuwa na tabia zinazofanana sana na huyu Engonga, hasa katika masuala ya wanawake.
Nakumbuka nilipokuwa mwaka wa kwanza chuo, tulikutana na huyu jamaa na tukawa marafiki wakubwa. Tabia zetu zilifanana kiasi, ila yeye alinizidi kwa kiwango kisichokuwa na mipaka. Katika semesta ya kwanza, tayari alikuwa ametoka kimapenzi na wasichana zaidi ya 14 wa chuoni. Kufikia semesta ya pili, alianza kuhamia hadi vyuo jirani, na kufikia jumla ya wasichana 25 aliofanikiwa kuwa nao kwa mwaka wa kwanza.
Mambo yalizidi zaidi alipofanikiwa kuwa kiongozi kwenye serikali ya wanafunzi kama waziri wa loans chuoni. Katika mwaka wa pili, semesta zote mbili, alitembea na wasichana 75 na wamama watatu. Alipofika mwaka wa tatu, hali ilizidi kuwa mbaya zaidi. Kilichonisikitisha ni jinsi alivyorekodi kila mahusiano kwenye daftari lake, kila alipotembea na msichana, jina lake lilikuwa kwenye orodha. Aliweza hata kuwatongoza na kutembea na lecturers wawili wa kike bila uwoga wowote, kuna siku alikuja mzazi wa mwanafunzi mwenzetu ili atoe taarifa za kuuguabkwa mwanae muda mrefu bahati akakutana na mwamba kwenye corridor za chuo mwamba alimwelekeza ofisi zilipo ila baada ya wiki akala na yule mzazi.
Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
Kuanzia wakati huo, nilianza kumhofia rafiki yangu. Nilihakikisha hajui kuhusu mahusiano yangu yoyote, maana nilihisi hana mipaka. Nilipomuuliza kama alikuwa na "dawa" ya kumwezesha hali hii, alisema hapana, kwamba hilo lilikuwa "la kawaida" kwake.
Mimi kwa upande wangu, katika miaka yote mitatu ya chuo nilikuwa na mahusiano na wasichana 13 tu, na nilihisi kama hiyo tayari ilikuwa zaidi. Baada ya kumaliza chuo, niliamua kuachana na tabia hizi na kuoa.
Rafiki yangu yule alikuwa na akili nyingi, na alikuwa na uwezo mzuri kitaaluma na kijamii pia alikuwa smart sana kimavazi na muonekano wake vilikuwa safi, na alikuwa na mvuto mkubwa kwa watu wengi. Lakini mimi nilijua upande wake wa pili, ambao hata wanaompenda hawakuwa na ufahamu nao.
Kwa sasa jamaa yangu ana cheo kikubwa kazini, na kila tunapoongea namkumbusha kuwa kitu pekee kinachoweza kumuangusha ni tamaa za wanawake. Japo ananiambia amebadilika, bado nina wasiwasi. Kuna watu ambao tamaa zao zimepitiliza katika masuala ya ngono, kama huyu Engonga na rafiki yangu, ambao wanahitaji msaada wa wanasaikolojia ili waweze kudhibiti tabia zao. Maana, ukiwa na tamaa hizi, unaweza kuwa na msichana mmoja leo na dakika tano baadae ukamhitaji mwingine β bila hisia yoyote.
I know you loved itAisee ila Baltazar ni mwisho wa reliππ½
Leo nmeona moja akiwa katikati ya barabara usiku wa manane anat.ia mwanamke, wote 2 very naked
Na kanisani je!Degree ya kwanza mpaka namaliza sijawai chakata mbususu/ papuchi hata moja.
Au sisi tulikua good behaved personnel βΊοΈππ
Mimi ni good BEHAVED PERSONAL πNa kanisani je!
Nakumbuka kile kisa chako mkuu sijakisahau ujue π€£Mimi ni good BEHAVED PERSONAL π
Haaahaa We PSL god umepigaje pigaje hapooo π πNakumbuka kile kisa chako mkuu sijakisahau ujue π€£