Watu wenye Matamanio Yasiyokuwa na Mipaka: Rafiki yangu wa chuo ana ufanano mkubwa sana na Engonga wa Guinea

Ivi waarabu na wahindi mbona hawana hizi tabia? Kwamba hawana hisia ama? Nimesoma nao sijawahi kuona hizi tabia zilizokithiri kwa wabongo
Tamaduni zao zinawabana sana niliwahi ninarafikibyangu mhindi huwa anashangaa sana africa tunavyoishi na wanawake na huku hatujafunga ndoa. Yaani anaona maajabu na inawezekana vipi!
 
Kweli kabisa mimi nawaza sijui wabongo akili zikoje wanaona sifa kuwa na demu wengi wakati huo wamepanga kigamboni maisha hoi kweli kweli, alafu waarabu na wahindi wanakuja na ndinga chuoni na hawana mawazo ya wanawake hata ukienda uarabuni huwezi kukuta tabia za hovyo kama hizi
 
Niliposikia kuhusu tabia za Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, alinikumbusha rafiki yangu wa chuo. Rafiki huyu alikuwa na tabia zinazofanana sana na huyu Engonga, hasa katika masuala ya wanawake.

Nakumbuka nilipokuwa mwaka wa kwanza chuo, tulikutana na huyu jamaa na tukawa marafiki wakubwa. Tabia zetu zilifanana kiasi, ila yeye alinizidi kwa kiwango kisichokuwa na mipaka. Katika semesta ya kwanza, tayari alikuwa ametoka kimapenzi na wasichana zaidi ya 14 wa chuoni. Kufikia semesta ya pili, alianza kuhamia hadi vyuo jirani, na kufikia jumla ya wasichana 25 aliofanikiwa kuwa nao kwa mwaka wa kwanza.

Mambo yalizidi zaidi alipofanikiwa kuwa kiongozi kwenye serikali ya wanafunzi kama waziri wa loans chuoni. Katika mwaka wa pili, semesta zote mbili, alitembea na wasichana 75 na wamama watatu. Alipofika mwaka wa tatu, hali ilizidi kuwa mbaya zaidi. Kilichonisikitisha ni jinsi alivyorekodi kila mahusiano kwenye daftari lake, kila alipotembea na msichana, jina lake lilikuwa kwenye orodha. Aliweza hata kuwatongoza na kutembea na lecturers wawili wa kike bila uwoga wowote, kuna siku alikuja mzazi wa mwanafunzi mwenzetu ili atoe taarifa za kuuguabkwa mwanae muda mrefu bahati akakutana na mwamba kwenye corridor za chuo mwamba alimwelekeza ofisi zilipo ila baada ya wiki akala na yule mzazi.

Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Kuanzia wakati huo, nilianza kumhofia rafiki yangu. Nilihakikisha hajui kuhusu mahusiano yangu yoyote, maana nilihisi hana mipaka. Nilipomuuliza kama alikuwa na "dawa" ya kumwezesha hali hii, alisema hapana, kwamba hilo lilikuwa "la kawaida" kwake.

Mimi kwa upande wangu, katika miaka yote mitatu ya chuo nilikuwa na mahusiano na wasichana 13 tu, na nilihisi kama hiyo tayari ilikuwa zaidi. Baada ya kumaliza chuo, niliamua kuachana na tabia hizi na kuoa.

Rafiki yangu yule alikuwa na akili nyingi, na alikuwa na uwezo mzuri kitaaluma na kijamii pia alikuwa smart sana kimavazi na muonekano wake vilikuwa safi, na alikuwa na mvuto mkubwa kwa watu wengi. Lakini mimi nilijua upande wake wa pili, ambao hata wanaompenda hawakuwa na ufahamu nao.

Kwa sasa jamaa yangu ana cheo kikubwa kazini, na kila tunapoongea namkumbusha kuwa kitu pekee kinachoweza kumuangusha ni tamaa za wanawake. Japo ananiambia amebadilika, bado nina wasiwasi. Kuna watu ambao tamaa zao zimepitiliza katika masuala ya ngono, kama huyu Engonga na rafiki yangu, ambao wanahitaji msaada wa wanasaikolojia ili waweze kudhibiti tabia zao. Maana, ukiwa na tamaa hizi, unaweza kuwa na msichana mmoja leo na dakika tano baadae ukamhitaji mwingine – bila hisia yoyote.
We nawe utakuwa papai, huyo rafiki yako anachotofautiana na mimi ni kuwa yeye anarekodi kwenye daftari mi narekodi kwa kuhifadhi picha google photos.

Semester ya kwanza mwaka wa kwanza nilipita na 36, semester ya Pili ilikuwa 50+.

Mpaka namaliza bachelor ni kama Tu Balthazar ni 350-400 kwa hesabu ya picha nilizonazo googlephotos, achilia mbali ambao sina picha zao
 
Watu wa aina hii wengi wanabanwa wakiwa foolish age au wengne kwa kuwa hawana status wanahisi hawana hazi yakutoka na wanawake(overthinkers),lakini wakija kupata uhuru,status na pesa wanasema utawatambua kwa matendo wanatembea na gia namba tano (overdriving)
 
Engonga ni injini kiuno!
 
We nawe utakuwa papai, huyo rafiki yako anachotofautiana na mimi ni kuwa yeye anarekodi kwenye daftari mi narekodi kwa kuhifadhi picha google photos.

Semester ya kwanza mwaka wa kwanza nilipita na 36, semester ya Pili ilikuwa 50+.

Mpaka namaliza bachelor ni kama Tu Balthazar ni 350-400 kwa hesabu ya picha nilizonazo googlephotos, achilia mbali ambao sina picha zao
Wewe ni mgojwa wa akili..na unahitaji tiba ya kisaikolojia
 
Wakuu mnajua mkiwaelewa Wanawake ,hamtamshangaa BALTAZAR !!.

Trust me.

Wanawake watajua wewe ni Malaya ila Kila siku utawatomba.

Kuna mademu Mimi Huwa wananitukana sanaz Malaya mkubwa, unikomez ila within few minutes wanajuaa kwenye Mfumo na wanaliwa .
 
Kwa nini awe na tabia zisizo zake ? Yaani afuate nyie msioweza kulala na wanawake wengi ? Nishawahi sema kuwa binadamu ni wanyama. Kiasilia wanadam hawana mipaka katika sex. Sasa sie tunataka tufuate matakwa ya waliobuni mfumo wa kuoa. Kuoa mke mmoja mpaka 4 nk ni mfumo uliobuniwa kwa malengo mahususi. Kwa sababu mfumo huo sio halisi basi hautekelezeki japo wengi wanadanganya eti wapo kwenye ndoa, uongo mtupu.
Tangu niwe mtu mzima sijawahi ona mwanaume yupo kwenye ndoa yake tu, wengo wana malaya wa kutosha.
Hayo mamtu unayodhani yanaheshimika hamna kitu, nivile tu mambo wanafanyia gizani kama bartazar. Bartazar bila video angeendelea kuwa mr clean mpaka anazeeka.
Kitu kingine mnapozungumzia dhambi. Sio kila mtu anaamini ktk dhambi. your ethics is not his.
 
Spoken elegantly and objectively. Mimi nikiongeaga hivi huwa nashambuliwa sana 😂
 
Niliposikia kuhusu tabia za Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, alinikumbusha rafiki yangu wa chuo. Rafiki huyu alikuwa na tabia zinazofanana sana na huyu Engonga, hasa katika masuala ya wanawake.

Nakumbuka nilipokuwa mwaka wa kwanza chuo, tulikutana na huyu jamaa na tukawa marafiki wakubwa. Tabia zetu zilifanana kiasi, ila yeye alinizidi kwa kiwango kisichokuwa na mipaka. Katika semesta ya kwanza, tayari alikuwa ametoka kimapenzi na wasichana zaidi ya 14 wa chuoni. Kufikia semesta ya pili, alianza kuhamia hadi vyuo jirani, na kufikia jumla ya wasichana 25 aliofanikiwa kuwa nao kwa mwaka wa kwanza.

Mambo yalizidi zaidi alipofanikiwa kuwa kiongozi kwenye serikali ya wanafunzi kama waziri wa loans chuoni. Katika mwaka wa pili, semesta zote mbili, alitembea na wasichana 75 na wamama watatu. Alipofika mwaka wa tatu, hali ilizidi kuwa mbaya zaidi. Kilichonisikitisha ni jinsi alivyorekodi kila mahusiano kwenye daftari lake, kila alipotembea na msichana, jina lake lilikuwa kwenye orodha. Aliweza hata kuwatongoza na kutembea na lecturers wawili wa kike bila uwoga wowote, kuna siku alikuja mzazi wa mwanafunzi mwenzetu ili atoe taarifa za kuuguabkwa mwanae muda mrefu bahati akakutana na mwamba kwenye corridor za chuo mwamba alimwelekeza ofisi zilipo ila baada ya wiki akala na yule mzazi.

Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati

Kuanzia wakati huo, nilianza kumhofia rafiki yangu. Nilihakikisha hajui kuhusu mahusiano yangu yoyote, maana nilihisi hana mipaka. Nilipomuuliza kama alikuwa na "dawa" ya kumwezesha hali hii, alisema hapana, kwamba hilo lilikuwa "la kawaida" kwake.

Mimi kwa upande wangu, katika miaka yote mitatu ya chuo nilikuwa na mahusiano na wasichana 13 tu, na nilihisi kama hiyo tayari ilikuwa zaidi. Baada ya kumaliza chuo, niliamua kuachana na tabia hizi na kuoa.

Rafiki yangu yule alikuwa na akili nyingi, na alikuwa na uwezo mzuri kitaaluma na kijamii pia alikuwa smart sana kimavazi na muonekano wake vilikuwa safi, na alikuwa na mvuto mkubwa kwa watu wengi. Lakini mimi nilijua upande wake wa pili, ambao hata wanaompenda hawakuwa na ufahamu nao.

Kwa sasa jamaa yangu ana cheo kikubwa kazini, na kila tunapoongea namkumbusha kuwa kitu pekee kinachoweza kumuangusha ni tamaa za wanawake. Japo ananiambia amebadilika, bado nina wasiwasi. Kuna watu ambao tamaa zao zimepitiliza katika masuala ya ngono, kama huyu Engonga na rafiki yangu, ambao wanahitaji msaada wa wanasaikolojia ili waweze kudhibiti tabia zao. Maana, ukiwa na tamaa hizi, unaweza kuwa na msichana mmoja leo na dakika tano baadae ukamhitaji mwingine – bila hisia yoyote.
Aisee ila Baltazar ni mwisho wa reli🙌🏽
Leo nmeona moja akiwa katikati ya barabara usiku wa manane anat.ia mwanamke, wote 2 very naked
 
Ivi waarabu na wahindi mbona hawana hizi tabia? Kwamba hawana hisia ama? Nimesoma nao sijawahi kuona hizi tabia zilizokithiri kwa wabongo
Ukiisoma hotuba ya Peter Botha, rais wa pili kutoka mwisho wa serikali ya makaburi ya Africa kusini (alikua akilihutubia baraza lake la mawaziri baada ya uchaguzi mkuu ) alisema mambo mengi kutuhusu watu weusi:-
Vitu pekee ambavyo mtu mweusi anaviweza na kuvifanya kwa ufasaha sana ni, kubadiri wanawake bila kiasi, kucheza miziki na ngoma, ukiwapa silaha watauana wenyewe kwa wenyewe. Mtu mweusi hana uwezo wa ku plan jambo linalo zidi miezi 12.
Ile hotuba nilii file somewhere kila nikiisoma naona utadhani imehutubiwa juzi while it was August 1985
 
Sahishi kabisa nafkiri nii ni nature na kila race ina asilimia zake, kama inawezekana itupue humu hiyo video au link yake
 
Back
Top Bottom