Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Wa kawaida tu aisee Yani maajabu sema tu ana kaziHuyo jamaa alikuwaje kimuonekano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kawaida tu aisee Yani maajabu sema tu ana kaziHuyo jamaa alikuwaje kimuonekano?
Pesa ilikuwa ipo ipo sio?Wa kawaida tu aisee Yani maajabu sema tu ana kazi
YahPesa ilikuwa ipo ipo sio?
Basi anajua kutongoza sisi madomo zege acha tuendelee kula punyere
Yashica ulihonga? Au Bado unayoMkuu Kuna muda Huwa zinakuja zenyewe tu yaani ukigusa tu inaitika!!
Mimi enzi zangu kijijn nilihakikisha Kila alipo binti lazima nitie sign labda awe ndg. Kwakweli Kuna miji nilipitia Hadi wa3 wa familia Moja na wengine wanajuana. Muda huo nilikuwa cameraman Tena camera yenyewe ni yashika(kondaki mikanda yake)
Kuna sehemu nilkuwa nikipita siku mbili mfurulizo vijana wananiambia jamaa binti wa Kwa fln niachie nataka kuoa nakuomba sana.
Baada ya muda niliamua kuacha kwa hiari yangu. Niliwahi pitisha mwaka mzima bilabila Tena nikiwa huko pwani na Dar badae wazaramo walinichahua Tena speend ilikuwa mbaya sana kuliko hata kijijini.
Hadi nilipo amua kumrudia Mungu wangu Hadi kuoa!
Wanaume tumeumbwa kutamani wanawake.Niliposikia kuhusu tabia za Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, alinikumbusha rafiki yangu wa chuo. Rafiki huyu alikuwa na tabia zinazofanana sana na huyu Engonga, hasa katika masuala ya wanawake.
Nakumbuka nilipokuwa mwaka wa kwanza chuo, tulikutana na huyu jamaa na tukawa marafiki wakubwa. Tabia zetu zilifanana kiasi, ila yeye alinizidi kwa kiwango kisichokuwa na mipaka. Katika semesta ya kwanza, tayari alikuwa ametoka kimapenzi na wasichana zaidi ya 14 wa chuoni. Kufikia semesta ya pili, alianza kuhamia hadi vyuo jirani, na kufikia jumla ya wasichana 25 aliofanikiwa kuwa nao kwa mwaka wa kwanza.
Mambo yalizidi zaidi alipofanikiwa kuwa kiongozi kwenye serikali ya wanafunzi kama waziri wa loans chuoni. Katika mwaka wa pili, semesta zote mbili, alitembea na wasichana 75 na wamama watatu. Alipofika mwaka wa tatu, hali ilizidi kuwa mbaya zaidi. Kilichonisikitisha ni jinsi alivyorekodi kila mahusiano kwenye daftari lake, kila alipotembea na msichana, jina lake lilikuwa kwenye orodha. Aliweza hata kuwatongoza na kutembea na lecturers wawili wa kike bila uwoga wowote, kuna siku alikuja mzazi wa mwanafunzi mwenzetu ili atoe taarifa za kuuguabkwa mwanae muda mrefu bahati akakutana na mwamba kwenye corridor za chuo mwamba alimwelekeza ofisi zilipo ila baada ya wiki akala na yule mzazi.
Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
Kuanzia wakati huo, nilianza kumhofia rafiki yangu. Nilihakikisha hajui kuhusu mahusiano yangu yoyote, maana nilihisi hana mipaka. Nilipomuuliza kama alikuwa na "dawa" ya kumwezesha hali hii, alisema hapana, kwamba hilo lilikuwa "la kawaida" kwake.
Mimi kwa upande wangu, katika miaka yote mitatu ya chuo nilikuwa na mahusiano na wasichana 13 tu, na nilihisi kama hiyo tayari ilikuwa zaidi. Baada ya kumaliza chuo, niliamua kuachana na tabia hizi na kuoa.
Rafiki yangu yule alikuwa na akili nyingi, na alikuwa na uwezo mzuri kitaaluma na kijamii pia alikuwa smart sana kimavazi na muonekano wake vilikuwa safi, na alikuwa na mvuto mkubwa kwa watu wengi. Lakini mimi nilijua upande wake wa pili, ambao hata wanaompenda hawakuwa na ufahamu nao.
Kwa sasa jamaa yangu ana cheo kikubwa kazini, na kila tunapoongea namkumbusha kuwa kitu pekee kinachoweza kumuangusha ni tamaa za wanawake. Japo ananiambia amebadilika, bado nina wasiwasi. Kuna watu ambao tamaa zao zimepitiliza katika masuala ya ngono, kama huyu Engonga na rafiki yangu, ambao wanahitaji msaada wa wanasaikolojia ili waweze kudhibiti tabia zao. Maana, ukiwa na tamaa hizi, unaweza kuwa na msichana mmoja leo na dakika tano baadae ukamhitaji mwingine – bila hisia yoyote.
Niliuzaga mkuu nikanunua Sony digital cameraYashica ulihonga? Au Bado unayo
Huyo jamaa yako anajua kuishi mwanawane. Wanawake wameweka hapa duniani tuwagegede mzeya sasa wee nae unalala mika mwenzio kugegeda hao wanawake wengi. Kwani aliwabaka? Sii walikuwa wanakubali wenyewe. Ujue ata wao mwanaume mmoja hatoshi kama alivyosema AtotoNiliposikia kuhusu tabia za Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, alinikumbusha rafiki yangu wa chuo. Rafiki huyu alikuwa na tabia zinazofanana sana na huyu Engonga, hasa katika masuala ya wanawake.
Nakumbuka nilipokuwa mwaka wa kwanza chuo, tulikutana na huyu jamaa na tukawa marafiki wakubwa. Tabia zetu zilifanana kiasi, ila yeye alinizidi kwa kiwango kisichokuwa na mipaka. Katika semesta ya kwanza, tayari alikuwa ametoka kimapenzi na wasichana zaidi ya 14 wa chuoni. Kufikia semesta ya pili, alianza kuhamia hadi vyuo jirani, na kufikia jumla ya wasichana 25 aliofanikiwa kuwa nao kwa mwaka wa kwanza.
Mambo yalizidi zaidi alipofanikiwa kuwa kiongozi kwenye serikali ya wanafunzi kama waziri wa loans chuoni. Katika mwaka wa pili, semesta zote mbili, alitembea na wasichana 75 na wamama watatu. Alipofika mwaka wa tatu, hali ilizidi kuwa mbaya zaidi. Kilichonisikitisha ni jinsi alivyorekodi kila mahusiano kwenye daftari lake, kila alipotembea na msichana, jina lake lilikuwa kwenye orodha. Aliweza hata kuwatongoza na kutembea na lecturers wawili wa kike bila uwoga wowote, kuna siku alikuja mzazi wa mwanafunzi mwenzetu ili atoe taarifa za kuuguabkwa mwanae muda mrefu bahati akakutana na mwamba kwenye corridor za chuo mwamba alimwelekeza ofisi zilipo ila baada ya wiki akala na yule mzazi.
Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
Kuanzia wakati huo, nilianza kumhofia rafiki yangu. Nilihakikisha hajui kuhusu mahusiano yangu yoyote, maana nilihisi hana mipaka. Nilipomuuliza kama alikuwa na "dawa" ya kumwezesha hali hii, alisema hapana, kwamba hilo lilikuwa "la kawaida" kwake.
Mimi kwa upande wangu, katika miaka yote mitatu ya chuo nilikuwa na mahusiano na wasichana 13 tu, na nilihisi kama hiyo tayari ilikuwa zaidi. Baada ya kumaliza chuo, niliamua kuachana na tabia hizi na kuoa.
Rafiki yangu yule alikuwa na akili nyingi, na alikuwa na uwezo mzuri kitaaluma na kijamii pia alikuwa smart sana kimavazi na muonekano wake vilikuwa safi, na alikuwa na mvuto mkubwa kwa watu wengi. Lakini mimi nilijua upande wake wa pili, ambao hata wanaompenda hawakuwa na ufahamu nao.
Kwa sasa jamaa yangu ana cheo kikubwa kazini, na kila tunapoongea namkumbusha kuwa kitu pekee kinachoweza kumuangusha ni tamaa za wanawake. Japo ananiambia amebadilika, bado nina wasiwasi. Kuna watu ambao tamaa zao zimepitiliza katika masuala ya ngono, kama huyu Engonga na rafiki yangu, ambao wanahitaji msaada wa wanasaikolojia ili waweze kudhibiti tabia zao. Maana, ukiwa na tamaa hizi, unaweza kuwa na msichana mmoja leo na dakika tano baadae ukamhitaji mwingine – bila hisia yoyote.
Sio kwamba wapo weak ndio ubinadamu huo nao wana nyege na matamanio ya kuonja de liboloz tofautiKupitia huyu jamaa nmejua ni jinsi gani wanawake walivo weakness
Maisha ya chuo raha sana unajigegedea mademu wa kila falculty.Umenikumbusha kuna mwamba kipindi tunasomachuo hapo jalalani alikuwa anajiita nyoka, mrefu, mweusi, mwembamba. Anasema yeye kila mwanamke atakayemtaka anamla na kweli alikuwa anawanyoosha. Usiku akirudi room yeye na rafiki yake wanajadili listi ya madem tu na mipango yao.
Sasa sii ndio matumizi sahihi ya wanawake au wee hupendinkuonja wanaume tofauti tofautiWanaume wengi wana tabia hiyo
Eeeeh ndiwooooo🤣Huyo jamaa yako anajua kuishi mwanawane. Wanawake wameweka hapa duniani tuwagegede mzeya sasa wee nae unalala mika mwenzio kugegeda hao wanawake wengi. Kwani aliwabaka? Sii walikuwa wanakubali wenyewe. Ujue ata wao mwanaume mmoja hatoshi kama alivyosema Atoto
Huna akiliNiulimbukeni
Mmh 13 wachache sana mkuu hata kwa mwaka mbona wanafika tu.Kwamba toka 1st yr hadi unamaliza umetembea na wanawake 13? Mbona na uzee wangu bado sijafika huko...
AiseeNiliposikia kuhusu tabia za Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, alinikumbusha rafiki yangu wa chuo. Rafiki huyu alikuwa na tabia zinazofanana sana na huyu Engonga, hasa katika masuala ya wanawake.
Nakumbuka nilipokuwa mwaka wa kwanza chuo, tulikutana na huyu jamaa na tukawa marafiki wakubwa. Tabia zetu zilifanana kiasi, ila yeye alinizidi kwa kiwango kisichokuwa na mipaka. Katika semesta ya kwanza, tayari alikuwa ametoka kimapenzi na wasichana zaidi ya 14 wa chuoni. Kufikia semesta ya pili, alianza kuhamia hadi vyuo jirani, na kufikia jumla ya wasichana 25 aliofanikiwa kuwa nao kwa mwaka wa kwanza.
Mambo yalizidi zaidi alipofanikiwa kuwa kiongozi kwenye serikali ya wanafunzi kama waziri wa loans chuoni. Katika mwaka wa pili, semesta zote mbili, alitembea na wasichana 75 na wamama watatu. Alipofika mwaka wa tatu, hali ilizidi kuwa mbaya zaidi. Kilichonisikitisha ni jinsi alivyorekodi kila mahusiano kwenye daftari lake, kila alipotembea na msichana, jina lake lilikuwa kwenye orodha. Aliweza hata kuwatongoza na kutembea na lecturers wawili wa kike bila uwoga wowote, kuna siku alikuja mzazi wa mwanafunzi mwenzetu ili atoe taarifa za kuuguabkwa mwanae muda mrefu bahati akakutana na mwamba kwenye corridor za chuo mwamba alimwelekeza ofisi zilipo ila baada ya wiki akala na yule mzazi.
Soma: Guinea: Kigogo anaswa na video 400 za ngono na wake wa viongozi mashuhuri, mwanasheria Mkuu aingilia kati
Kuanzia wakati huo, nilianza kumhofia rafiki yangu. Nilihakikisha hajui kuhusu mahusiano yangu yoyote, maana nilihisi hana mipaka. Nilipomuuliza kama alikuwa na "dawa" ya kumwezesha hali hii, alisema hapana, kwamba hilo lilikuwa "la kawaida" kwake.
Mimi kwa upande wangu, katika miaka yote mitatu ya chuo nilikuwa na mahusiano na wasichana 13 tu, na nilihisi kama hiyo tayari ilikuwa zaidi. Baada ya kumaliza chuo, niliamua kuachana na tabia hizi na kuoa.
Rafiki yangu yule alikuwa na akili nyingi, na alikuwa na uwezo mzuri kitaaluma na kijamii pia alikuwa smart sana kimavazi na muonekano wake vilikuwa safi, na alikuwa na mvuto mkubwa kwa watu wengi. Lakini mimi nilijua upande wake wa pili, ambao hata wanaompenda hawakuwa na ufahamu nao.
Kwa sasa jamaa yangu ana cheo kikubwa kazini, na kila tunapoongea namkumbusha kuwa kitu pekee kinachoweza kumuangusha ni tamaa za wanawake. Japo ananiambia amebadilika, bado nina wasiwasi. Kuna watu ambao tamaa zao zimepitiliza katika masuala ya ngono, kama huyu Engonga na rafiki yangu, ambao wanahitaji msaada wa wanasaikolojia ili waweze kudhibiti tabia zao. Maana, ukiwa na tamaa hizi, unaweza kuwa na msichana mmoja leo na dakika tano baadae ukamhitaji mwingine – bila hisia yoyote.
Tumekufehemu yakheee...naogopa asitokee huku bongo maana i can't imagine anaweza kupiga hadi ...Mzee nadhani umenielewa ova.
DuuhJinsia ya ke kuitafakari ni ngumu sana. Kuna mbaba mtu mzima yuko slim hivi mke wake analumbana naye kila mara serikali za mitaa kesi za ufumanizi.
Ajabu huyo mjuba ukimuon kimwonekano ni f kabisa na hata hela hana yani apeche alolo.
Kumbe wamama wenyewe wanahadithiana kua mbaba anamzigo wa kwenda.
Kwa akili zao ke. Kila mmoja anataka ajaribu huo mzigo.
Basi anatongozwa na wadada na wamama.
Tena wengine wale wanaojitambua kabisa.
Ametolewa sasaHiyo nchi auze kila kitu ahame tu kwa kweli