Nilikua nasikia sikia tu kuwa watu wenye miguu flat chini
yaani nyao zao hazina uvungu katikati huwa hawaruhusiwi kujiunga na jeshi
sababu hawataweza mikikimikiki ya jeshi hasa kukimbia mchakamchaka
Juzi kati nimethibitishiwa na watu wa jeshini kuwa ni kweli kabla ya kujiunga
jeshini lazima ukaguliwe miguu na ukikutwa ni flat feet hawakuchukui
Niko very very curious na hili.....
je hii ni scientific theory?
nchi zote inatumika hii au kwetu tu??
Na mtu kuwa na miguu flat maana yake ana afya dhaifu?
kuna yeyote anaeweza kunipa maelezo zaidi?