Watu wenye miguu flat ..wana shida gani?

Watu wenye miguu flat ..wana shida gani?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Nilikua nasikia sikia tu kuwa watu wenye miguu flat chini
yaani nyao zao hazina uvungu katikati huwa hawaruhusiwi kujiunga na jeshi
sababu hawataweza mikikimikiki ya jeshi hasa kukimbia mchakamchaka

Juzi kati nimethibitishiwa na watu wa jeshini kuwa ni kweli kabla ya kujiunga
jeshini lazima ukaguliwe miguu na ukikutwa ni flat feet hawakuchukui

Niko very very curious na hili.....

je hii ni scientific theory?
nchi zote inatumika hii au kwetu tu??

Na mtu kuwa na miguu flat maana yake ana afya dhaifu?

kuna yeyote anaeweza kunipa maelezo zaidi?
 
Hili jambo ata mimi nilisikia eti kwamba wenye nyayo flat hushindwa kusota ardhini.
 
Ninadhani wavaaji wa Nike marathon trainers wanaweza kutueleza vizuri
 
Mmmh hata mimi niliwahi kusikia..ngoja nithibitishe kwenye hii thread
 
Nilikua nasikia sikia tu kuwa watu wenye miguu flat chini
yaani nyao zao hazina uvungu katikati huwa hawaruhusiwi kujiunga na jeshi
sababu hawataweza mikikimikiki ya jeshi hasa kukimbia mchakamchaka

Juzi kati nimethibitishiwa na watu wa jeshini kuwa ni kweli kabla ya kujiunga
jeshini lazima ukaguliwe miguu na ukikutwa ni flat feet hawakuchukui

Niko very very curious na hili.....

je hii ni scientific theory?
nchi zote inatumika hii au kwetu tu??

Na mtu kuwa na miguu flat maana yake ana afya dhaifu?

kuna yeyote anaeweza kunipa maelezo zaidi?
Nlivyosikiaga ni kuua hawaezi kutembea umbali mrefu, wanaachoka mapema kulngana na nyayo zao zlivyo.
 
Screenshot_20170722-183939.png
 
Back
Top Bottom