Watu wenye miguu flat ..wana shida gani?

Watu wenye miguu flat ..wana shida gani?

Huku kwenye ulimwengu wa tatu ni vigumu sana kuondokana na hizi dhana potofu.

Na tatizo kuu ni ujinga. Na ujinga wetu hauna tabaka. Hata wale waloelimika kwa hii elimu rasmi ya darasani nao wanasumbuliwa na ujinga.

Imagine majuzi tu hapa watu na elimu zao walikuwa wanaamini kuwa Donald Trump kawasema vibaya Waafrika na watu weusi ilhali wala haikuwa vigumu kuutafuta ukweli....sasa sembuse kuhusu hizi dhana potofu zilizoota mizizi mirefu?

Mimi sishangai kabisa.

Kwanza kwa mtazamo wangu naamini jeshi letu kama taasisi linaongoza kuwa na watu walio wajinga [ignorant].
Nakubaliana nawe mkuu,kwani licha ya kuwepo wasomi, bado unakuta wanashabikia mambo ya imani za kijinga na ambazo ziko nyingi na wakati mwingine zimeleta usumbufu sana kwa watu wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hadi US Army hawapokei watu hawa wenye flat feet..
cc Nyani Ngabu
Hii hapa inaweza kusaidia pia kuhusu mtazamo wa US army kwenye hili suala
IMG_20170725_212943.jpg
 
Hiyo sehemu inasaidia mguu kupumua,huko depo,muda mrefu unakuwa umepiga boots,sasa kama miguu aipumui vzr,kuna hatari ya kuchanika unyayo,
 
Nmeshangaa kusoma sehemu kuwa miguu isiyo na uvungu kuwa ni ulemavu. Ni aina gani hii ya ulemavu au tatizo lake ni nini?

Mchangiaji mmoja alienda mbali kwa kusema kuwa watu wasio na miguu yenye uvungu hawaajiriwi jeshini. Nikajiuliza huu ni ulemavu namna gan?namfaham dada mmoja mrembo sana kwa sura na umbo ila miguu yake haikuwa na uvungu.

Mnaofaham mnisaidie huu ni ulemavu gani na unasababishwa na nini?
 
Na pcha uambatanishe

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Kuna ugonjwa flank nmeusahau jina ni wawatoto unakuta mtoto cjui kazaliwa nao na watoto wenye huo ugonjwa unakuta wanafanana sura na miguu yao pia inakua haina uvungu
 
Wasiokuwa na uvungu hawawezi kukimbia sana na nyayo zinawahi kuchoka


Chanzo:Mjeda akiyekaribu yangu

invest what you are willing to loose
 
Huo siyo ulemavu, labda kama kila mtu anatafsiri yake ya ulemavu!
 
Tukienda mbali zaidi basi hata Mwanya nao ni Ulemavu-pendwa
Ni kweli ni ulemavu....wakati wa embryology maxilla bone huwa inatoka nusu upande wa kushoto na nusu upande wa kulia.

Hivyo taratibu upande hizo mbili huwa zinasogelea kuja Ku fuse au kukutana pamoja na kufanya maxilla bone iliyokamilika.

Pande mbili zisipokutana kwa 100% ndipo kunatengeneza gap kidogo ndiyo watu mnaita Mwanya.
 
Angalia picha
0719fb0bb8ee2c14a558c77be03ae24d.jpg


Even a black folk hate to see another nigga made it..
 
FA.jpg
FA1.jpg
FA2.jpg
Ni kweli ni ulemavu....wakati wa embryology maxilla bone huwa inatoka nusu upande wa kushoto na nusu upande wa kulia.

Hivyo taratibu upande hizo mbili huwa zinasogelea kuja Ku fuse au kukutana pamoja na kufanya maxilla bone iliyokamilika.

Pande mbili zisipokutana kwa 100% ndipo kunatengeneza gap kidogo ndiyo watu mnaita Mwanya.
We unaona ni ulemavu,
Ila wenye nayo wanapatia mademu thru huu ulemavu wa meno,
Akimuona demu hata kama hajachekeshwa utaona tu anatabasamu ili uonekane.
We unadhani kwanini mwana-FA muda wote ananyanyuaga lips za juu??
 
View attachment 571350 View attachment 571351 View attachment 571352
We unaona ni ulemavu,
Ila wenye nayo wanapatia mademu thru huu ulemavu wa meno,
Akimuona demu hata kama hajachekeshwa utaona tu anatabasamu ili uonekane.
We unadhani kwanini mwana-FA muda wote ananyanyuaga lips za juu??
Mimi nakupa taarifa ya kibailojia kwasababu hata Mimi nina mwanya na nimesoma hiyo wakati nasoma Anatomy au structure ya mwili wa binadamu chuoni.

Hayo mengine unayoyasema ni yatokanayo na deformity au ulemavu huo.

Kama Dimples ni ulevu wa muscles za mashavu kutokuwa ktk anatomical position inayotakiwa kuwa hatimaye mtu huyo akitabasamu muscles zinapovutika kila moja na direction yake then zinaacha shimo ambalo ndilo hilo huitwa dimples au mabonye na watu huona kama ni uruzi au humpendezesha mtu.
 
Miguu yangu haina uvungu afu dimpoz ninazo pia niko fiti tu acheni uchochezi.
 
Back
Top Bottom