DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,229
- 1,950
Nilikuwa na maongezi ya simu na mpya wangu.
Aliniuliza kwanini mtu akionekana ana mali, hasa kama ni mtumishi wa serikali huishia kuchunguzwa? Kwani serikali inataka watu wake waishie kuwa maskini? Akaniuliza vipi wale watu wenye potential zote za kufanikiwa na bado ni maskini, kwanini hawachunguzwi?
Inafikirisha...