Watu wenye roho mbaya ndio wanaofanikiwa maishani

Watu wenye roho mbaya ndio wanaofanikiwa maishani

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Posts
19,257
Reaction score
12,244
WATU WENYE ROHO MBAYA NDIO WANAOFANIKIWA MAMAISHANI.

Dunia imebeba watu wa kila aina,wachapa kazi ,waviviu,wanyonyaji,majizi ,wachawi nk.
Kuna makundi ya tabia mbali mbali, kuna wapole ,wenye roho mbaya,wakali,wasamalia,wenye roho nzuri nk.
Sasa basi hapa nawazungumzia watu wenye roho mbaya,wanavyoweza ku survive na kutusua kimaisha,
Cha kwanza hili kundi huwa na shauku ya kufika mbali kimafanikio, hivyo wanapokuwa katika utafutaji huwa hawana mzaha na kitu kinaitwa pesa,

Mnaweza mkafanya nae dili,halafu dili mfanikishe ujifanye unataka kumzima,
Ohoo!!! my friend utajuta, huwa hawakubari atahakikisha unampa chake,kivyovyote vile utampa tu,
huwa hawaachi nyuma hata shilingi

Hata katika familia/ukoo hawa watu huwa wanajulika,huwa hawaangalii wewe ni nani na unaukaribu nae vipi,huwa hawabebi watu wazembe hata kidogo, na huwa hawatoi misaada kizembe, eti unakuja unasema mimi ni mtoto wa mjomba wako,nimetokea kijijini nimekuja kukusalimia,huna la maana lolote mbona utarudi mwenyewe bila kuambiwa,

Hakuna kucheka na mtu ,huwa wanapenda sana kutumia Wathesalonike 3:10 Kwa wale wavivu hawatanielewa, Kwa watu wa namna hiyo ndugu wapenda kitonga(kupe ) huwa hawakanyaji, na hubakia na maneno ya lawama tu ,

Roho mbaya hupelekea kutochezewa,kudhurumiwa,mali zako kutochezewa,kupe kukaa mbali na wewe,hata majirani hukutambua na kutoleta mazoea ya kijinga,hata mtu akija kwako anakuja na hoja inayoeleweka na si vihoja vya kipambe,

ROHO MBAYA NI KINGA ZIDI YA WANYONYAJI
Husaidia kujiimalisha kiuchumi na kufikia malengo, hukufanya kuto kuingiza bajeti zinazoibuka zisizo na msingi, sio kidogo tu flani amekumbwa na shida, unazama mfukoni na kupangua mipango uliyoiandaa, na husadia kuto sumbuliwa hovyo

LENGO NI NINI?
Lengo ni kujichimbia mizizi kiuchumi,kama ni mti basi tungesema mti wenye mizizi mirefu kwenda chini,ambao hata kimbunga kikija si rahisi kuuangusha,

Hapo sasa ndio unaweza ukabadilika kidogo na kuwa na roho nzuri,Kwa sababu mizizi yako imejichimbia chini, hata watu wakining'inia kwenye matawi yako huta anguka, utaishi vizuri na uzee wako utaumaliza vizuri bila kuwa msumbufu au ombaomba
3be9da160b03be0d9fda9bc7cddb7dd0193cdc6c.jpg

"Ishiwa damu utapata wa kukuongeze, ukiishiwa pesa hutapata hata salamu"
 
Nimemkumbuka ghafla huyo Smith na mzee
Kweli unatakiwa uwe na malengo kwa hiyo roho mbaya sidhani kama linaakisi uwekezaji na mafanikio ya mtu na kuwa mbali kiuchumi
Unafurahi na watu na kuwasaidia kiasi unachoweza ila usiwe na roho mbaya na kikatili eti tu kwa sababu unazikusanya
Mwisho wa ubaya ni aibu
Be humble and always help other people
 
Usijitolee kutafuta sifa ambazo hazitakusaidia,komaa kwanza kiuchumi ndio usaidie wengine, Kumbuka usaidie usisaidie hakuna atakaye kushukuru akiwin,sana sana akipata tena shida ndio atakukumbuka
 
Usijitolee kutafuta sifa ambazo hazitakusaidia,komaa kwanza kiuchumi ndio usaidie wengine, Kumbuka usaidie usisaidie hakuna atakaye kushukuru akiwin,sana sana akipata tena shida ndio atakukumbuka

Kumbe kujitolea na kusaidia ni kutafuta sifa
Mimi naamini kutoa sio kutafuta sifa bali ndio imani yangu
Na maisha yanaenda na haijanirudisha nyuma kimaendeleo kwa kutokusaidia
Na kutoa sio utajiri
Kuwa na malengo ni lazima na ni muhimu kujitahidi kufikia target uliyojipangia kwa miaka kadhaa utakuwa wapi au utakuwa umefikia wapi malengo yako
Maisha ni mafupi sana kuliko tunavyoyafikiria
 
Kama uko imara kiuchumi na si legelege
 
Kama uko imara kiuchumi na si legelege

Nashukuru Mungu niko katika maisha ya kati ambayo nimebakiza miaka michache sana kustaafu kwani watoto pia wamekua sasa
Mimi naandaa retirement nzuri tu mpaka nitaporudisha namba
 
Nashukuru Mungu niko katika maisha ya kati ambayo nimebakiza miaka michache sana kustaafu kwani watoto pia wamekua sasa
Mimi naandaa retirement nzuri tu mpaka nitaporudisha namba
Hongera kwa hilo mkuu,inaonyesha una mikakati mizuri sana ya uzeeni
 
Kumbe kujitolea na kusaidia ni kutafuta sifa
Mimi naamini kutoa sio kutafuta sifa bali ndio imani yangu
Na maisha yanaenda na haijanirudisha nyuma kimaendeleo kwa kutokusaidia
Na kutoa sio utajiri
Kuwa na malengo ni lazima na ni muhimu kujitahidi kufikia target uliyojipangia kwa miaka kadhaa utakuwa wapi au utakuwa umefikia wapi malengo yako
Maisha ni mafupi sana kuliko tunavyoyafikiria
Kutoa ni utajiri sio moyo...kama huna kitu utatoa nini
 
Back
Top Bottom