kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Hukumu ya mahakama iliyomweka Mdude huru imewaumiza watu wasio na roho ya kibinadamu wanaoamini kwenye kukandamiza wenzao.
Mashambulizi yao mitandaoni yanadhirisha kwamba walitamani aendelee kuozea ndani kitu ambacho siyo sahihi. Wapo waliojinasibu kumchangia kumbe hakuna mchango wamewahi kutoa kwa mhanga yeyote wa ukandamizaji haki nchini, wanajiita wazalendo.shame
Tukubali kwamba mwenye haki siku zote yupo huru na mkiendelea kumwombea mabaya mtaondoka atabaki.
Vijana wanaodhani kwamba watapata madaraka kwa kuwaumiza watu nakutumia dola vibaya wanajidanganya. Simammeni jukwaani mpinge hoja kwa hoja siyo kushambulia watu mkielekeza dola ikamate wanaowazidi kwa hoja.
Vijana wanaoweza kumtukana na kumdhalilisha Makamu wa Rais Zanzibar kisa tu si CCM na wakavumiliwa si vijana wakuwapa madaraka. Jifunzeni kuteua watu wenye credibility, sajili vijana wenye akili vyuoni achananeni na makapi yasiyo na hoja.
Unapokuwa na umoja wa vijana wasiojitambua na wanaowaza kuumiza watu ni umoja mfu. UVCCMsiyo tawi la Polisi mseme mtamwekeleza ocD au RPC chakufanya, UVCCM Ni timu ya wanasiasa fanyeni siasa. Acheni kuegemea kwenye dola mnaposhindwa kwa hoja