Watu wenye roho za kikatili waumizwa na Mdude kuwa huru

Unaongelea utumwa wakati dunia ipo mbali kwa sasa. Mie nawe tuna level tofauti sana ya kuanalyse mambo aisee.

Utumwa ni level za sekondari ndio unaongelewa Ila hata mie ningekuwa enzi hiyo ningewauza maana mnalalamika tu. Stupid.
Eti utumwa ni mambo ya zamani! Unajuwa zamani wewe? Stupid kabisa. Hata sasa kuna watu ambao babu zao wazaa baba walikuwa watumwa. Eti dunia iko mbali! Una akili ndogo wewe kwanza nimeshaona siyo level yangu! Na Kwahiyo nisipokujibu tena usishangae!
 
Hukumu ya mahakama iliyomweka Mdude huru imewaumiza watu wasio na roho ya kibinadamu wanaoamini kwenye kukandamiza wenzao.

Mashambulizi yao mitandaoni yanadhirisha kwamba walitamani aendelee kuozea ndani kitu ambacho siyo sahihi. Wapo waliojinasibu kumchangia kumbe hakuna mchango wamewahi kutoa kwa mhanga yeyote wa ukandamizaji haki nchini, wanajiita wazalendo.shame

Tukubali kwamba mwenye haki siku zote yupo huru na mkiendelea kumwombea mabaya mtaondoka atabaki.

Vijana wanaodhani kwamba watapata madaraka kwa kuwaumiza watu nakutumia dola vibaya wanajidanganya. Simammeni jukwaani mpinge hoja kwa hoja siyo kushambulia watu mkielekeza dola ikamate wanaowazidi kwa hoja.

Vijana wanaoweza kumtukana na kumdhalilisha Makamu wa Rais Zanzibar kisa tu si CCM na wakavumiliwa si vijana wakuwapa madaraka. Jifunzeni kuteua watu wenye credibility, sajili vijana wenye akili vyuoni achananeni na makapi yasiyo na hoja.

Unapokuwa na umoja wa vijana wasiojitambua na wanaowaza kuumiza watu ni umoja mfu. UVCCMsiyo tawi la Polisi mseme mtamwekeleza ocD au RPC chakufanya, UVCCM Ni timu ya wanasiasa fanyeni siasa. Acheni kuegemea kwenye dola mnaposhindwa kwa hoja
Shida ni kuwa ukimuachia kichaa ashike panga au runguataumiza wengi wasio na hata hatia ni heri kumsweka mahala salama kuliko kumuacha kuzurura na panga lake mitaani, kwa hiyo bwashee sio kusema roho zinawauma hao watu bali ni tahadhari kwa kuwa kichaa mwenye panga anarandaranda mitaani, yule aliyemfunguliwa sasa ndie anatishiwa na kichaa mwenye panga .
 
Tunahitaji akina mdude wengi wakuwasaidia wananchi kutambua tupo kwenye utumwa wa fikra.

Sentensi moja tu ya jasiri mdude imeamsha chama kizima kupiga kelele utadhani ukiwa ccm unageuka Malaika.

Na hapa Ni mwanzo mtapoteana sana wakati upinzani hoja yao ndo Kwanza inapata mailage kwa watu wenye kuitakia mema Tanzania.

Katiba mpya kivuko Cha utumwa
 
Eti utumwa ni mambo ya zamani! Unajuwa zamani wewe? Stupid kabisa. Hata sasa kuna watu ambao babu zao wazaa baba walikuwa watumwa. Eti dunia iko mbali! Una akili ndogo wewe kwanza nimeshaona siyo level yangu! Na Kwahiyo nisipokujibu tena usishangae!
Kwa hiyo babu yako alikuwa ametoka we mavi?
 
Hukumu ya mahakama iliyomweka Mdude huru imewaumiza watu wasio na roho ya kibinadamu wanaoamini kwenye kukandamiza wenzao.

Mashambulizi yao mitandaoni yanadhirisha kwamba walitamani aendelee kuozea ndani kitu ambacho siyo sahihi. Wapo waliojinasibu kumchangia kumbe hakuna mchango wamewahi kutoa kwa mhanga yeyote wa ukandamizaji haki nchini, wanajiita wazalendo.shame

Tukubali kwamba mwenye haki siku zote yupo huru na mkiendelea kumwombea mabaya mtaondoka atabaki.

Vijana wanaodhani kwamba watapata madaraka kwa kuwaumiza watu nakutumia dola vibaya wanajidanganya. Simammeni jukwaani mpinge hoja kwa hoja siyo kushambulia watu mkielekeza dola ikamate wanaowazidi kwa hoja.

Vijana wanaoweza kumtukana na kumdhalilisha Makamu wa Rais Zanzibar kisa tu si CCM na wakavumiliwa si vijana wakuwapa madaraka. Jifunzeni kuteua watu wenye credibility, sajili vijana wenye akili vyuoni achananeni na makapi yasiyo na hoja.

Unapokuwa na umoja wa vijana wasiojitambua na wanaowaza kuumiza watu ni umoja mfu. UVCCMsiyo tawi la Polisi mseme mtamwekeleza ocD au RPC chakufanya, UVCCM Ni timu ya wanasiasa fanyeni siasa. Acheni kuegemea kwenye dola mnaposhindwa kwa hoja
Siku mdude anachiwa huru ndio siku Sadala tulimlaza na viatu😅😅
 
Wembe ni ule ule
 
kama mdude kaathirika kisaikolojia, chanzo ni serikali ya ccm.
Wahanga ni wengi
IMG_20210704_153830.jpg
 
Lakini anahitaji kupumzika kidogo otherwise atakuwa time bomb na atajikuta sio sehemu salama. Akiweza ajitahidi kufanya siasa zenye manufaa kwake binafsi otherwise itamsumbua zaidi yeye na viongozi wake wapo kimya tu.

Inawezekana ana maumivu mengi moyoni Ila ashukuru yupo huru japo alishinda kesi kupitia Mahakama Ila akumbuke kwamba hiyo Mahakama isingekuwa huru kama enzi za bwana yule Leo asingekuwa huru hata kidogo.

Sometimes it's better kupima mambo kwa nyakati, yawezekana CCM ni ileile lakini kiongozi ni mwingine ana utashi tofauti kidogo.

Hebu akatulie kwanza na ajitafakari anataka kufanya siasa gani ya upinzani, asije kujikuta hata upinzani wakamuona ni mwehu pia.
KATIBA MPYA NDIYO JIBU.
 
Back
Top Bottom