Watu wenye roho za kikatili waumizwa na Mdude kuwa huru

Unaongelea utumwa wakati dunia ipo mbali kwa sasa. Mie nawe tuna level tofauti sana ya kuanalyse mambo aisee.

Utumwa ni level za sekondari ndio unaongelewa Ila hata mie ningekuwa enzi hiyo ningewauza maana mnalalamika tu. Stupid.
Eti utumwa ni mambo ya zamani! Unajuwa zamani wewe? Stupid kabisa. Hata sasa kuna watu ambao babu zao wazaa baba walikuwa watumwa. Eti dunia iko mbali! Una akili ndogo wewe kwanza nimeshaona siyo level yangu! Na Kwahiyo nisipokujibu tena usishangae!
 
Shida ni kuwa ukimuachia kichaa ashike panga au runguataumiza wengi wasio na hata hatia ni heri kumsweka mahala salama kuliko kumuacha kuzurura na panga lake mitaani, kwa hiyo bwashee sio kusema roho zinawauma hao watu bali ni tahadhari kwa kuwa kichaa mwenye panga anarandaranda mitaani, yule aliyemfunguliwa sasa ndie anatishiwa na kichaa mwenye panga .
 
Tunahitaji akina mdude wengi wakuwasaidia wananchi kutambua tupo kwenye utumwa wa fikra.

Sentensi moja tu ya jasiri mdude imeamsha chama kizima kupiga kelele utadhani ukiwa ccm unageuka Malaika.

Na hapa Ni mwanzo mtapoteana sana wakati upinzani hoja yao ndo Kwanza inapata mailage kwa watu wenye kuitakia mema Tanzania.

Katiba mpya kivuko Cha utumwa
 
Eti utumwa ni mambo ya zamani! Unajuwa zamani wewe? Stupid kabisa. Hata sasa kuna watu ambao babu zao wazaa baba walikuwa watumwa. Eti dunia iko mbali! Una akili ndogo wewe kwanza nimeshaona siyo level yangu! Na Kwahiyo nisipokujibu tena usishangae!
Kwa hiyo babu yako alikuwa ametoka we mavi?
 
Siku mdude anachiwa huru ndio siku Sadala tulimlaza na viatu😅😅
 

Wembe ni ule ule
 
KATIBA MPYA NDIYO JIBU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…