Watu wenye uchungu wa maisha wajitokeze

Mawazo mazuri yapo
ila ngoma ni kwenye utekelezaji.
 
Wazo ziri sana ila watu 20 niweng sana changamoto zitakua nying kuliko matarajio ebu fikiria kidogo jinsi ya kupunguza watu me nipo teyar% 100
 
Wadau nipo njian naenda arusha ukiona umenipigia simu inakata kuna maeneo signal iko weak
 
Ushauri watu 20 kila mmoja kiingilio m1 na kila mwenzi anashangia lk 1 hii itasaidia saccos kukuwa kwa haraka na kuwa na watu serious kwa kazi
 
Me niko tiari kbs ila niwe rais wa kundi na signatory
 
Kaka una plan nzur. Ila kwa ushaur katika hesabu yako naona hujaweka management cost ya miaka 4, Registration costs. Na wala hujaconsider interest rates na depreciation rate ya Tsh. Kumbuka pesa yetu inadepreciate.. 10,000tsh ya leo haina value kama ya miaka 4 iliyopita na haiwez kuwa na value ile ile katika miaka 4 ijayo. Hata risks pia hujaconsider. Heb jarbu tafta financial investment expert akukokotolee vitu vya msing kuconsider.
 
Jamani kwa wale wahitaji wote WA kuwa wanachama WA SACCOS kuna group LA whatsaap nimeanzisha sasa kama una nia ya dhati na ya kweli ni follow kwa namba hz 0762581579
 
Wazo zuri sana lakini inahitaji watu serious kama alivyosema. Ila kuna changamoto kwenye urejeshaji wa mikopo. Sisi waTZ wengi wetu hatuna nidhamu ya pesa. Mtu anaweza kopa akaanza kuzingua kwenye urejeshaji. Je nini kitafanyika ili kudhibiti hali hii?
 
mkuu vipi ulishapata hao watu 20?
 
Mwingine anakopa anakwenda kuchangia harusi.


Teh!
 
nAKUMBUSHA JAMANI tAREHE 23/7.mAANDAMANO YA KUZUIA MKUTANO WA CCM Dodoma.lOWASSA Na MBOWE Wanawaamini sana.
 
wazo zuri ila kwa watu tuliokutana tu humu jamvini ni ngumu, labda mi ndio niwe mtunza hazina.
 
Asee kwa huu ushauri wako unamdiscourage kabisaa asiendelee japo kuna ukweliii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…