Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu vipi ulishapata hao watu 20?Security hela in kubwa sana kwanza kabla ya lazima wote tuwe kitu kimoja,
pili mungu na imani iwepo,
tatu pesa zote zitawekwa bank na masignatory watakuwa watatu na mhasibu akiwepo kwa hela hyo huwezi enda itoa bila mhtsary wa wanachama na pesa itakayoweka payslip itawekwa ktk file maalumu pia kila mwanachama atakuwa file lake ambalo litakuwa na particular zake zote hals na mrith wake maana kuna hisa baadae kwahyo kuna kumia ktk ajali,
kufa na kadhalika kwahyo ukiweka particular za uongo itakula kwako maana kwa baadae kutakuwa na system maalum kwahyo ktk hlo pesa haina shida ulinzi wake hausumbui cha. Msing watu hao wapatikane tuunge group moja la whtsaap then tupange kuonana wapi tunaandaa kila kitu kitakuwa sawa
Mwingine anakopa anakwenda kuchangia harusi.Wazo zuri sana lakini inahitaji watu serious kama alivyosema. Ila kuna changamoto kwenye urejeshaji wa mikopo. Sisi waTZ wengi wetu hatuna nidhamu ya pesa. Mtu anaweza kopa akaanza kuzingua kwenye urejeshaji. Je nini kitafanyika ili kudhibiti hali hii?
Asee kwa huu ushauri wako unamdiscourage kabisaa asiendelee japo kuna ukweliii.Kaka una plan nzur. Ila kwa ushaur katika hesabu yako naona hujaweka management cost ya miaka 4, Registration costs. Na wala hujaconsider interest rates na depreciation rate ya Tsh. Kumbuka pesa yetu inadepreciate.. 10,000tsh ya leo haina value kama ya miaka 4 iliyopita na haiwez kuwa na value ile ile katika miaka 4 ijayo. Hata risks pia hujaconsider. Heb jarbu tafta financial investment expert akukokotolee vitu vya msing kuconsider.