Watu wenye uhitaji Maalumu leo wamejitokeza katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kufuatilia mambo makubwa aliyowafanyia kama vile kuwapa vifaa wezeshi, kuboresha Elimu, Afya, kuwapa mikopo n.k wamemchangia pesa zaidi ya Tsh Milioni moja kwa ajili ya kuchukulia fomu ya kugombea tena Urais mwaka 2025 na kumuahidi kura Milioni 4.
Karibu kila miezi mitatu ama miwili naona taarifa watu wamemchangia Samia hela za fomu,ni takribani mwaka sasa,hizo hela hazitoshi?!! Hela ya fomu shs ngapi kwani?!!
Hata kama ni maigizo kua anakubalika kila kada na anahitajika na kila kada,waje na mbinu nyingine, mfano kuna wale walikuja na tamko la kumnunulia Mama helicopter ya kampeni,walau walikuja na lidude jipya japo ni bongo wood!!