Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Watu wenye unene uliopitiliza wako katika hatari ya kupata saratani/kansa ya kongosho mara 20 zaidi ya watu wenye uzito wa kawaida.
Kongosho (pancreas) ni ogani inayotengeneza insulin ambayo ni kichocheo kinachodhibiti kiasi cha sukari kwenye damu.
Tiba Fasta
Kongosho (pancreas) ni ogani inayotengeneza insulin ambayo ni kichocheo kinachodhibiti kiasi cha sukari kwenye damu.
Tiba Fasta