Watu wenye unene uliopitiliza wana hatari ya kupata saratani ya kongosho mara 20 zaidi ya watu wa kawaida

Watu wenye unene uliopitiliza wana hatari ya kupata saratani ya kongosho mara 20 zaidi ya watu wa kawaida

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Watu wenye unene uliopitiliza wako katika hatari ya kupata saratani/kansa ya kongosho mara 20 zaidi ya watu wenye uzito wa kawaida.

Kongosho (pancreas) ni ogani inayotengeneza insulin ambayo ni kichocheo kinachodhibiti kiasi cha sukari kwenye damu.

Tiba Fasta
 
Back
Top Bottom