Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Naomba nipm mkuuSina uzoefu Ila ni profession yangu
DoneNaomba nipm mkuu
Kama nimemuelewa vizuri anazungumzia Community development-Base projects na siyo business-oriented projectsUpo general sana Mkuu ila mambo muhimu ya haraka haraka kww uzoefu wangu ni:
- Andaa miradi yako
- Uwe na strategic planning
- Tumia social medias/internet
- Tumia watu professional walio dedicated
- Anza na eneo dogo
Baada ya miezi mitatu fanya evaluation
Rudia huo mtirirko tena baada ya mwaka ongeza ukubwa wa eneo kijiografia la mradi.
Yapo mengi Mkuu hata nfani ya ivyo vichache hapo juu.
pote pote panaitaji hivyo vitu Mkuu tofauti ni kuwa huku kwenye ma NGO haulengi kutengeneza faida ila ili ufanikiwe mradi wako bado utaitaji wataalamu, mpango mkakati n.kKama nimemuelewa vizuri anazungumzia Community development-Base projects na siyo business-oriented projects
Habari za wakati huu wakuu
Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali.
Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye mashirika kama wafanyakazi ,wasimamizi ,viongozi nk, naomba tuwasiliane pls ,
Pia naomba ushauri na maoni na hata uzoefu wenu wanajukwaa kuhusu uendeshaji wa shirika lisilo la kiserikali
Kuna mambo natamani niyafanye kwenye jamii yangu.
Natanguliza shukrani
Nashukuru sana mkuu kwa kushare uzoefu wako, ubarikiweNimefanya kazi na mashirika ya siyokuwa ya kiserikali kwa zaidi ya miaka kumi. Nilianza kama mfanyakazi wa kujitolea, baadae assistant program officer, nikapanda cheo kuwa program officer, hapa kuna wakati nilikuwa nakaimu nafasi ya mkurugenzi pale alipokuwa ametingwa au alipokuwa nje ya ofisi.
Baadae nikapanda na kuwa mkurugenzi mtendaji mwenyewe. Siku hizi nimeamua kuwa kapuku. Kusaidia jamii kuna changamoto zake maana wakati mwingine wewe unaona tatizo lakini wao hawalioni hivyo kuna kuwepo na dhamira tofauti hususani watu wakishajua shirika lina ufadhili.
Kwa shirika lazima uwe na malengo maalum, mpango mkakati wa kueleweka. Mpango Kazi wa kutekeleza mpangomkakati.
Zaidi ya yote, unahitaji watu sahihi ili ufanikiwe