Watu wenye wafuasi wengi Twitter

Dotto Mnzava

R I P
Joined
Mar 6, 2014
Posts
864
Reaction score
427
Kwa mujibu wa wakuu wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter wamesema, Katy Perry anaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi ambao ni 78.3 milioni, akifuatiwa na Justin Bieber - 70.5 milioni.

Wengine ni pamoja na Taylor Swift ambaye anawafuasi 66.7 milioni huku Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na wafuasi 66.5 milioni na Mwanamuziki Rihanna ambaye anawafuasi 53.1 milioni.
 
Dah, sikuwahi kufikiria kuwa na njaa hii ya maisha hapa Bongo watu wawaze mtu mwenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii
 
Dah, sikuwahi kufikiria kuwa na njaa hii ya maisha hapa Bongo watu wawaze mtu mwenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii

unajua uko kwenye jukwaa gani lakini? nenda jukwaa la wajasiriamali uko kama njaa unazo wewe usiseme kwa general statement kaka juiongelee mwenyewe tuko kwenye jukwaa la celebrities tunakula news za mastaa wa hapa na nje!!!!
 
Hata kama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…