BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Leo katika pitapita zangu Mtandaoni nimekutana na taarifa ya kushtua kidogo kwamba Watu wenye asili ya Afrika (Waafrika Weusi) wanakuwa hatarini zaidi kupata Magonjwa ya Moyo ikiwemo Shinikizo la Juu la Damu kuliko Watu weupe (Wazungu).
Hili jambo lina ukweli kiasi gani?