Utafiti haujasema Black American imesema Black African!1) Badilisha Title. Na isomeke Wamarekani weusi kwasababu research imefanyika Marekani na sio Barani Afrika.(itafutwe chanzo na eneo husika ilipofanyika research hii huko Marekani. Iwekwe Bayana hapa.
Stop this OverGeneralisation
2) Iwekwe tahadhari kuwa hakuna Uhusiano wowote ule na Waafrika wa Afrika au Watanzania, kwa sababu Mazingira hayafanani.
3) Ama Futeni uzi huu kabisa.
Ngoja waje wazungu
sio hilo tu ni pamoja na prostate cancer.
Ata sicklecell huwapata watu weusi tu na haiwapati wazungu
Wacha kujiondoa Ufahamu na Lugha iliyotumika.Utafiti haujasema Black American imesema Black African!
Relax
Wewe ndiye unayesema! Taarifa ya NHS haijasema unavyotaka iwe.Wacha kujiondoa Ufahamu na Lugha iliyotumika.
Hata hivyo Utafiti huu haujafanyika sehemu yeyote ile Afrika na kwa maana hiyo, hakuna uhusiano wowote na matokeo ya Utafiti huo kuwa na any relations na Watanzania, Sembuse Waafrika walio katika bara la Afrika.
Wacha Ugaidi
Nishasema, Utafiti huo haujafanyika Hapa Tanzania wala Afrika.Wewe ndiye unayesema! Taarifa ya NHS haijasema unavyotaka iwe.