joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka uchaguzi wa Tanzania ni kitu kidogo sana duniani na hata hapa nchini, mbona kila kitu kipo wazi kinachofanyika ni kukamilisha ratiba tu.Tuwe makini na hawa watu kipindi hiki cha uchaguzi isije kuwa wanatumia hicho kigezo kuleta wapelelezi
Yani mkuu mm mwenyewe sijaelewa kwnn wameamua kukimbilia Tz, au umaarufu wa Magu kutokana na sakata la covid-19 ukafanya watu waifuatilie sn Tz na kugundua ni Eden ya dunia kwa ss.
Magu ameifanya Tanzania ijulikane duniani, kila anayefika Tanzania hakuna anayetaka kuondoka. Tanzania ni nchi yenye sifa zote za kuwafanya wageni kupenda kuishi.Yani mkuu mm mwenyewe sijaelewa kwnn wameamua kukimbilia Tz, au umaarufu wa Magu kutokana na sakata la covid-19 ukafanya watu waifuatilie sn Tz na kugundua ni Eden ya dunia kwa ss.
Jambo la kushangaza ni kwamba, kuna nchi ambazo zimeruhusu "Dual citizenship", zinaruhusu wageni kumiliki ardhi, zinatumia lugha ya Kiingereza, lakini bado hawapendelei kwenda huko badala yake wameamnua kuja Tanzania ambayo sheria zake za uhamiaji bado ni ngumu.Yani mkuu mm mwenyewe sijaelewa kwnn wameamua kukimbilia Tz, au umaarufu wa Magu kutokana na sakata la covid-19 ukafanya watu waifuatilie sn Tz na kugundua ni Eden ya dunia kwa ss.
Sio kitu kidogo Tanzania ni nchi yenye influence kubwa afrika kwa hiyo ukishika Tz umeshika influence pia kuna Mali nyingi Tanzania kwa hiyo ukiweka watu wako utazichukua hizo Mali kiulaini nafikiri huijui Tanzania vizuri.Kaka uchaguzi wa Tanzania ni kitu kidogo sana duniani na hata hapa nchini, mbona kila kitu kipo wazi kinachofanyika ni kukamilisha ratiba tu.
Yani mkuu mm mwenyewe sijaelewa kwnn wameamua kukimbilia Tz, au umaarufu wa Magu kutokana na sakata la covid-19 ukafanya watu waifuatilie sn Tz na kugundua ni Eden ya dunia kwa ss.
Ni kitu kidogo kwa maana kwamba ni mechi kati ya Barcelona na Mtibwa, mbona majibu yapo wazi kabisa, huyo mtu wako utampenyeza wapi?Sio kitu kidogo Tanzania ni nchi yenye influence kubwa afrika kwa hiyo ukishika Tz umeshika influence pia kuna Mali nyingi Tanzania kwa hiyo ukiweka watu wako utazichukua hizo Mali kiulaini nafikiri huijui Tanzania vizuri.
Sheria zetu za ardhi ni miongoni mwa sheria bora sana katika kumlinda mtanzani dhidi ya wageni wenye nguvu.Despite Tanzania being seen as a peaceful country and with potential of opportunities, the MAIN thing they are eyeing for is LAND. And this is accessible contrary to our thinking. LAND should strongly be protected for the benefit of Tanzanians.
Kupeleleza Tanzania?Tuwe makini na hawa watu kipindi hiki cha uchaguzi isije kuwa wanatumia hicho kigezo kuleta wapelelezi
Ndiyo unaichukuliaje Tz?hii ni nchi kubwa sanaKupeleleza Tanzania?
Yah, laugh out louder
Tuwe makini na hawa watu kipindi hiki cha uchaguzi isije kuwa wanatumia hicho kigezo kuleta wapelelezi