Watu weusi duniani kote waanzisha kampeni ya kurudi Tanzania, waishangaa Tanzania

Tuwe makini na hawa watu kipindi hiki cha uchaguzi isije kuwa wanatumia hicho kigezo kuleta wapelelezi
Watakachopeleleza ni nini hapa kwenye hii Shithole? Khe khe khe khee...

Kama madini yote wameshayabeba! Gesi zote wameshajimilikisha!!

Nchi hii imeshauzwa na maccm tumebakiza vumbi na mashimo tu!!!

Intelijensia za wazungu ni kwa ajili ya kupata manufaa ya uchumi tu sio kuja hivi hivi kuangalia hayo maigizo ya akina mahera sijui!

Anaitwa nani yule dingi wa ccm aliyeajiriwa kwenye tume ya uchaguzi? Mahera sijui mahela?
 
Kama ni shithole wanakuja kufanya nn ss, ufala wako wa kichama peleka jukwaa la siasa pumbu we.
 
Sababu ya kuja wengi hasa kipindi hiki ni kuwa
Tanzania ni miongoni mwa nchi chache zilizoacha mipaka yake wazi na kukataa wimbo wa Corona.
Sasa walipoingia bongo yale waliyoyakuta wanaahirisha safari zao za kwenda hata huko Ghana na Gambia kwenye asili yao na sera rafiki.
Tanzania wanafurahia
1. Ujamaa- udugu.
2. Hali nzuri ya hewa (wanaotaka joto wanakaa Dar, baridi wanakwenda Arusha Kilimanjaro na Iringa. Bahari na maziwa yamejaa.
3. Gharama za maisha- huwa wanashangaa sana wakichange dollar ile hela wanapata. Na purchesing power yake.
4. Vyakula vya asili. Matunda, mboga mboga kwa wingi kwa bei nafuu.
5. Maeneo ya burudani na starehe- wananzania wanapenda na wanajua kustarehe, pia wanapenda muziki wao na utamaduni wao. Hawa watu huwa wanatafuta utambulisho wa Mwafrika.
6.vivutio vya utalii-Tanzania vimejaa pomoni.
7.Speed ya maendeleo ya Tanzania . Wanaona kabisa hapa the future is blight.
8. MAGU-The JPM,. Huyu Mwamba wanamhusudu sana. Yale yote aliyoyafanya hasa ndio wanaona kiongozi wa Africa anatakiwa awe. Ana balls na haabudu wazungu. Anatafuta masuruhisho ya kiafrika kwa waafrika.
Hii si mara ya kwanza kwa Rais wa TZ kuvutia watu kuhamia TZ kwa haiba yake. Nyerere aliwavutia wakina Richard S Mabala mpaka wakaukana uraia wa Uengereza na wako hapa mpaka leo. Wakina General Warder licha ya Ukoloni kwisha waliamua kubaki TZ mpaka mwisho. Sasa wanaomwelewa Magu wanakuja.

Sasa watanzania tukae mkao wa kula tu. Sera za ardhi na umilikaji mali zinatulinda. The only way out for them is partinership! Hii nchi inasonga mbele!
 
Despite Tanzania being seen as a peaceful country and with potential of opportunities, the MAIN thing they are eyeing for is LAND. And this is accessible contrary to our thinking. LAND should strongly be protected for the benefit of Tanzanians.
ENDAPO KAMA WANAKUJA NA KUWEKA MAKAZI HAPA PIA WAKATIMIZA VIGEZO VYA URAIA HAWA NI WENZETU NI WEUSI WENZETU ARDHI KITU GANI KWETU ARDHI KWA AJILI YA KIBANDA CHAKO HAINA UBAYA WOWOTE
 
Sababu ya kuja wengi hasa kipindi hiki ni kuwa
Tanzania ni miongoni mwa nchi chache zilizoacha mipaka yake wazi na kukataa wimbo wa Corona.
Sasa walipoingia bongo yale waliyoyakuta wanaahirisha safari zao za kwenda hata huko Ghana na Gambia kwenye asili yao na sera rafiki.
Tanzania wanafurahia
1. Ujamaa- udugu.
2. Hali nzuri ya hewa (wanaotaka joto wanakaa Dar, baridi wanakwenda Arusha Kilimanjaro na Iringa. Bahari na maziwa yamejaa.
3. Gharama za maisha- huwa wanashangaa sana wakichange dollar ile hela wanapata. Na purchesing power yake.
4. Vyakula vya asili. Matunda, mboga mboga kwa wingi kwa bei nafuu.
5. Maeneo ya burudani na starehe- wananzania wanapenda na wanajua kustarehe, pia wanapenda muziki wao na utamaduni wao. Hawa watu huwa wanatafuta utambulisho wa Mwafrika.
6.vivutio vya utalii-Tanzania vimejaa pomoni.
7.Speed ya maendeleo ya Tanzania . Wanaona kabisa hapa the future is blight.
8. MAGU-The JPM,. Huyu Mwamba wanamhusudu sana. Yale yote aliyoyafanya hasa ndio wanaona kiongozi wa Africa anatakiwa awe. Ana balls na haabudu wazungu. Anatafuta masuruhisho ya kiafrika kwa waafrika.
Hii si mara ya kwanza kwa Rais wa TZ kuvutia watu kuhamia TZ kwa haiba yake. Nyerere aliwavutia wakina Richard S Mabala mpaka wakaukana uraia wa Uengereza na wako hapa mpaka leo. Wakina General Warder licha ya Ukoloni kwisha waliamua kubaki TZ mpaka mwisho. Sasa wanaomwelewa Magu wanakuja.

Sasa watanzania tukae mkao wa kula tu. Sera za ardhi na umilikaji mali zinatulinda. The only way out for them is partinership! Hii nchi inasonga mbele!
Yote haya sio kitu cha mara moja vile wewe unaweza kuzania ndg kikwete aliitangaza sana nchi hii duniani kote atleast for now we can proud of it
 
Kuna watu waliotangaza nchi yao zaidi ya Kenya, mbona huko hawaendi?
 
Kila nchi wanaenda, Hakuna nchi ambayo hawaendi, hata Burundi pia wapo wanaokwenda, tunazungumzia hili wimbi la " Year of return", ambapo black Diaspora wanarudi Africa kwa wingi, nchi tatu ndio wanazokwenda kwa wingi, 1)Gambia,2) Ghana na 3)Tanzanis, hizo zingine sio sana.
 
Haha.. joto la jiwe hawezi enjoy anything bila kuwaza kuhusu kenya . Seriously. Does this guy think that year of return started yesterday . Ati kenya tunaskia wivu.
giphy.gif
 
Unaweza leo kuuliza swali lako kwamba kwanini wanakimbilia Tanzania zaidi?,
How do you know that. The guy have you the same number of kenyan videos as you gave Tanzanian. Lakini you low IQ brain thinks you are leading. Stupid
 
Back
Top Bottom