Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Appreciated, asante ndugu
 
You have got a Jewish complex, I bet your a christian....Christianity has been proved a false religion, and its text the bible none historical, fiction to be specific
Watu wana amka sasa, masihi hakurudi, na dunia ya fikara mpya imesha zaliwa
 
Tuanzishe Uzi mpya Ku rectify haya....
Asante
 
Appreciated
 
Appreciated
 
😀😀😀😀😀anaza pipo bana,😀😀😀 watu weusi wameona no way acha tujisingizie tu labda itatupooza machungu
enhee kwa hiyo wakavuka bahari na kwenda kuwastaarabisha😀😀😀halafu ikawaje???
 
Africa wameamua kujiandikia historia yao..yaani kama paukwa pakawa
 
Hakika!!!!!
 
Nini Simon wa krene, bustani ya eden yenyewe iko Africa, DRC

 
tusijidanganye sana kwamba tulikuwa mbele zamani wakati ni dhana ya uwongo iliyokubuhu. Tuache kutafuta kuhurumiwa, tupambane hali zetu.
Ukweli akisema mweupe, hata takwimu bingwa unazikataa, na yaonekana wengi ndio wanapenda kuamini utumbo huu, kwamba sisi weusi tulilaaniwa!!!!! HahahaHa
 
Nyie ndo mnasababisha bange zionekane mbaya...

Hiyo ni sawa na mzazi anakwambia enzi anasoma alikuwaga wa kwanza wakati hajui kusoma wala kuandika..

Africa pasua kichwa
Walewale, mnadandia magari safari hamjui ilikoanzia, inakoishia
 
Ukweli akisema mweupe, hata takwimu bingwa unazikataa, na yaonekana wengi ndio wanapenda kuamini utumbo huu, kwamba sisi weusi tulilaaniwa!!!!! HahahaHa
Tumejialani wenyewe kwa ujinga wetu na uvivu wetu. eti tulikuwa tumezazidi Wazungu!!! ujinga ni pale unapojifanya ulikuwa bora wakati hata mlo wako ni shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…