Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

UWEZO WAKO WA KUFIKIRI NDO UMEISHIA HAPO?
 
Baadhi yenu humu, hata mpewe ushahidi gani bado mtaendelea kubisha
watu kama hao wapo mahali popote duniani ...ubishi nisehemu ya nguzo muhimu ktk maisha yao..nasio kwamba hawaelewi ..hapana but udhaifu wao nikubishana tu..but kuna wengine wanabisha ili wapate kuyapekua mambo na kuweza kuyajua..nawatu hao ktk mjadala niwatu muhimu mnooo kwasbabu huwa wanamchokonoa mtoa mada na wale wenye uelewa kama wamtoa mada kuweza kufunguka zaidi nikulielezea jambo kwakina. ...nahapo ndio tunakuja kupata maana halisi ya MJADALA...ubishi unapaswa kuwa ndani ya fact
 
Wewe ndio hujui na kichwa chako ngumbalu, sasa unaanza kubishia sayansi
 
KWANI WAMASAI NI WAZUNGU? NIMEKUAMBIA WAMASAI WAMETIKEA SUDAN, SIJAKUAMBIA WAZUNGU WAMETOKEA SUDAN. WEWE MEMKWA NINI! AU WALE MIONGONI MWA WALE VILAZA NINI!


Buddha was a black man, and although a lot of you hate to say it, but currently Arabic-Islam is very racist toward the African
Na hii hayo utabisha?? Pua wamevunja, lakini midomo ya mswahili???
 
Kazi kweli ndugu Luna watu wanabisha kufurahisha jopo
KUNA FASIHI MOJA YA KISWAHILI INASEMA ..KUNA WATU WASIPOKUELEWA KIMANENO NA KIMATENDO INAKUBIDI UMSHUKURU MUNGU MAANA UWEZO WAKO WAKUFIKIRI UTAKUWA NI CHANYA ZAIDI YAO NA UKIONA WAMEANZA KUKUELEWA BASI JITATHIMINI HUWENDA IKAWA UMEANZA KUWAZA KAMA WAO

so hao niwakuachana nao tu mkuu ..hata kina Mandela.Mobutu seseko wkati wanayapigania mataifa yao kujikomboa ktk ukoloni kuna watu ambao walikuwa hawa waelewi nawalikuwa wanaona sawa tu kuendelea kutawaliwa...but mwisho wasiku wale waliokuwa wanafanya harakati waliweza kuwakomboa watu wote pasipo kujali kama waliwaunga mkono au waliwa kebehi
 
Asante ndugu
 
kwa hiyo wewe unamini ulikuwa na mkia kama nyani.
Ndio, na nyani wapo mpaka leo, huyo nyoka anayeongea yuko wapi? Penda Sana hadithi mzuri, unachukia rangi yako ya ngozi na kujichukia mwenyewe!!!! Moyoni unatamani Sana ungekuwa mweupe,ungepata dawa ungechibua kabisa????
 
Yes wale jamaa wana non verbal communication lol!
Nyoka anayeongea??? Yuko wapi??? Wepesi wa kuamini ngano za myahudi, zilizotungwa nyakati za giza na ujinga, badala ya kupendana na kujenga bara lenu mnasubiria kwenda peponi??? Paradiso???? Pale israeli?????
 
Mambo ambayo watu hukataa, ndio mambo ambayo wangeliyachagua
Bob Marley
 
Ndio, na nyani wapo mpaka leo, huyo nyoka anayeongea yuko wapi? Penda Sana hadithi mzuri, unachukia rangi yako ya ngozi na kujichukia mwenyewe!!!! Moyoni unatamani Sana ungekuwa mweupe,ungepata dawa ungechibua kabisa????
Achana na story za kusadikika. Tupige kazi, tuache uvivu, tufikiri nje ya box ili tuweze kufika kule waliko wenzetu. Tukiendeleea kusubiri huruma za dunia ooh tulikuwa mbali zamani, ohh tulihujumiwa na wazungu n.k hazitasaidia. Wachina wamesonga mbele, walikuwa kama sisi, Wahindi wanasonga mbele, Waarabu wamepiga hatua. Na sisi tupige hatua. Achana kabisa na story za kusadikika. KAMA KUSOMA HUJUI SI HATA PICHA UNAIONA? DINI ZIMELETWA NA WATU WA KUJA, ELIMU IMELETWA NA WATU WA KUJA. HAO WAAFRIKA WALITAWALA DUNIA KWANINI HAWAKUACHA HATA DINI YAO HUKO? TUACHE KULALAMIKA, TUJITUME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…