Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Watu weusi hamna kitu, tulishazidiwa na bado tunazidiwa kimaarifa, kiteknolojia, kitabibu, kibiashara, kisiasa, kiuchumi, kiufugaji, katika kilimo, katika uchumi, hata kivita tukijaribu tutashindwa tu na hata katika sehemu zote za maisha.

Sisi tunachowazidi wazungu, waarabu na races zingine ni Uvivu na Majungu TU!
 
What happened later, what went wrong hadi baadae sisi hao hao tukaja kua watumwa, tena mwarabu mmoja (kwa huku Africa mashariki) au mzungu mmoja (kule west Africa) akawa anatuswaga kama ng'ombe tena nasikia sometimes ratio ilikua hadi 1:100, yaani mfanyabiashara mmoja kwa watumwa 100, kweli!?
 
nI KWeli ndugu
 
Hizi hoja zao kila siku nawakatalia .mijitu myeusi mijinga hata ku reason haijui.kwa hiyo hawa weusi walienda wakaanzisha ustaarabu kule halafu sijui wao wakapotelea wapi na ustaarabu wao ukapotelea wapi? Sisi ni mijinga sana.tunasema tulijenga pyramids.leo hii hata kujenga fly over ni kwa kanuni za mzungu.

Sijui tukoje.tunakaa tunajipa moyo na ujinga ujinga kila mara.mara yesu alikuwa mweusi.nawaliuza so what?mara weusi ndo waliwafundisha akili wazungu.nawauliza then what happened?sisi ni mijitu ya ajbu sana.wazungu 5 au waara bu waliweza swaga msululu wa mababu zetu 50 kwenda kuwauza na mababu wapo tu kama makondoo... Bado tunadai sisi tulikuwa na teknolojia ya juu....

 
 
Asantekwa hoja zako kata tamaavu
Lakini uvivu wako was kufikiri haubatilishi hoja zetu za msingi, inaanza na we we kujipenda, kujithamini na kujikubali
 
kujipenda, kujiamini na kujikubali hakumaanishi ujiaminishe ujinga/uongo na ushindwe kufikiri kwa kina.nijibu maswali haya
1.waafrika ndiyo wa kwanza kuanzisha ustaaratbu duniani hadi kwa weupe then what happened hivi sasa hatuna ustaarabu?
2. waafrika tuliwezaje kuwa colonized kwa teknolojia tuliyokuwa nayo miaka hiyo tukashindwa kuwathibiti wageni wachache waliokuja nchini mwetu nasi ni wengi?
3. miaka mingi baada ya kuwa colonized je tumepiga hatua katika mambo gani kiuchumi,kiteknolojia na kiutamaduni?
4.vita ,mauaji,njaa na migogoro tuliyo nayo ni ustaarab mpya tulio nao sasa?
5. Ni nini tunachovumbuwa sisi waafrika zaidi ya vigodoro na kuua albino?
Asantekwa hoja zako kata tamaavu
Lakini uvivu wako was kufikiri haubatilishi hoja zetu za msingi, inaanza na we we kujipenda, kujithamini na kujikubali
 
Waafrika toa north Africans.. Inabidi tukubaliane kwamba tulichelewa kupata civilization ..me hizi post za kujisifia afu hatuna evidence inakuwa kama tunajipa moyo tu
 
Ukwel mtupu
 
Kweli baadhi ya nchi za Africa zilikuwa mbali sana kiakili na kimaendeleo
Kuna mataifa kama Egypt, Morocco, Nigeria, Somalia na Mali walikuwa na maendeleo miaka mingi iliyopita.

Hata latin America walikuwa mbali sana
Ila sasa hapo ndio inakuja hiyana ya mzungu alipoangamiza kila kitu na kuifuta historia za wengine.

Lakini hii isitufanye tulaumu kwani hatupo motoni au peponi na kuanza kulalamika

Bado tupo duniani lakini hata system ya maisha hatuijui bado tunalalamika tu
 
Hizi stories tu ina maana waafrika wenye akili waliuawa wote wao walizaliwa na nani? Na hawa wazungu wagunduzi wapya wao wanazaliwa na nani? Zilikuwa mbali kiakili now what is happening?kama mtu ana akili anayo tu.kama hana hana.ndo maana kuna watu genius wanatoka vijijini huko hata shule zao za hovyo.but sababu wanaakili wanafanya vizuri.that means nini kinachosababisha waafrika kwa sasa tu maskini kifikra,teknolojia na uchumi?

 
Hii hapa maiti ya farao aliyewazuia waisrael wakati wa musa.
Sasa hao wwazungu na waarabu wako wapi kuja na uongo wao wa karne 10 tu
 
Hapo unaongelea mwenye akili alieko kijijini seriously

Mataifa ya zamani walikuwepo watu ambao walikuwa na maono na upendo katika mataifa yao, hao ni watawala walioongoza iwe kwa mtutu au kwa upanga ili wapate himaya kubwa na yenye nguvu.

Kumbuka walikuwa wanataka mataifa yao yawe na nguvu na hata kibiashara na kutengeneza miji yao kuwa maarufu

Hata Hitler alivamia nchi zingine na kuiba mali nyingi sana ili aitajirishe nchi yake, na mpaka leo kuna hazina nyingi ambazo watu wanazitafuta.

Tunahitaji kiongozi wa kuwa na mikakati ya kimaendeleo na kuwa na malengo haswa
Linawezekana sana ila mpaka wote tuwe na nia moja

Mambo yamebadilika sana kwetu haswa Rushwa ilipokuja na watu kujilimbikizia mali na umimi

Huu hapa ni mji wa zamani huko India
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…