Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Habari zenu wakuu zangu?
Nimiaka mingi imepita huko nyuma
miaka ya kiza,miaka ya mateso, miaka yenye uzuni, miaka isiyo na matumaini, miaka ambayo mtu mweusi ali ishi maisha ambayo samaki, kuku, ngombe, mbuzi, wanaishi Sasa hivi
Yani una mkamata una mfuga ili akulimie au akupe maziwa au umuuze au umle nyama vyovyote una vyo weza kuwa fanyia una wafanyia kwani hawana uwezo wa kuku zuia
Hivyo pia ndivyo watu weupe walivyo watendea mababu zetu waliwa nunua waliwa uza waliwa chinja waliwa baka waliwa ingilia kinyume na maumbile walipo taka.
Kiukweli ilikuwa ni miaka isiyo faa kukumbukwa hata kidogo"
Kwani ni miaka ambayo mtu mweusi/mtumwa alipitia nyakati ngumu ambazo hazikuwa rahisi kuvumilika.
Wali safilishwa umbali mlefu pasipo Sehemu ya kujisaidia, pasipo hewa Safi, chakula Wala mavazi, na kwa wale walio shindwa kuvumilia Wali uwawa kinyama
Mtu mweusi ali safilishwa akiwa amefungwa kengele na nyololo shingoni mwake "akipigwa kwa mijeredi iliyo tengenezwa kwa nyaya na kuchongewa miiba ili kuwa zidishia maumivu wazee wetu.
Baadhi walijaribu ku pambana kwa ajili ya vizazi vyetu Wakakamatwa, wakateswa wakanyongwa mafuvu yao yaka wekwa kwenye office zao kama mifano kwa wengine watakaojaribu kuwa pinga watu weupweupe
Walio vamia nyumba zetu, wakapola wake zetu,wakatupokonya watoto wetu mikononi mwetu"
Waka pola mashamba yetu,alidhi zetu, migodi yetu,
Waka choma nyumba zetu wakatutupa baharini uzito wetu ulipo zidi kwenye vyombo vyao ili tufe sisi kwa ajiri ya maisha yao eti kwa sababu sisi si Bora kuliko wao si watu kama wao si binadam Kama wao Bali sisi ni wanyama wanmisituni/sokwe
cha kushangaza leo hii tuna madini na wao Wana shida na madini yetu lakini tunaenda kuomba misaada kwao
Tuna aldhi nzuri kubwa na yenye rutba lakini tuna enda kuomba chakula kwao
Tuna gase water, falls, lakini tunategemea umeme wa ma generators kutoka kwao
Tume fika mbali zaidi watoto zetu tuna waita majina ya ma babu zao tumewa sahau wazee wetu akina kambalage,akina man'gun'go, akina Mandela, akina kwame tumewa sahau
Watoto zetu tuna waita akina Aisha, Abraham, yusufu, ezekieli nk
Tumefika mbali zaidi tuna yatukuza mpaka mavazi ya ma babu zao dini za mababu zao elimu za mababu zao. Leo tuna itana makafiri sisi kwa sisi, tunaona wa Islam si Bora kuliko wa kristo,sisi kwa sisi tuna chinjana, tua uwana, tuna lipuana kwa sababu ya dini na mapokeo yasiyo ya kwetu
Kwa kufanya hivyo tuna karibisha kilicho watesa wazee wetu, kilicho pingwa kwa gharama ya damu na ma shujaa wetu wa kale
Tazama viongozi wetu ujinga wanao ufanya kwa wanainchi wao. Tazama mavazi kwa mabinti wetu yanavyo udhalilisha utu wao/utu wetu
Tazama mikoa iliyo tawaliwa na dini frani jinsi inavyo kuwa na watu wavivu. Tazama ilivyo vigumu mtazania kwenda Kenya, Zambia, Zimbabwe nk kuliko uchina, Thailand nk
Watu weusi tujitafakari
sisi si wa kuishi hivi tulivyo,
sisi si waku tazamana kwa macho mabaya hivi,
sisi si watu Wa kuzungumzia uzanzibar na utanganyika
Tulipaswa kuzungumzia Africa moja.
Tulipaswa kuzungumzia kuvunja mipaka Kati ya Kenya na tz
Tz na zambia
Tz na lwanda.
tz na Uganda.
Kwani sisi sote ni wamoja
Mungu ibariki Tanzania mungu Ibariki Africa.