JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Ndo maana ni vigumu kuona mweusi akiwa sehem ya mamlaka akamnyanyua mweusi mwenziye kwa kumpa tenda atampa mtu wa rangi tofauti tuu ndo maana nchi yetu uchumi umetawaliwa kwa %80 na watu wenye ngozi ambazo siyo za kibantu. Huu ni ulemavu wa fikra. Weusi tunataka kuji prove kwa wenye rangi tofauti huku tukiacha wenzetu wanataabika.