Watu weusi tuna inferiority complex hadi leo hii

Watu weusi tuna inferiority complex hadi leo hii

Angalia fox news ndo uone thamani ya mweusi kwa mzungu ikoje au nenda libya ndo utajua thamani ya mweusi kwa mwarabu ikoje. Tupeane nafasi sis kwanza ndo tuwape wengine
kumbe hadi mkumbashe kupeana nafasiii....wenzenu weupe hawakumbushani kujaliana na kupendana na kuwa wazalendo they are automaticaly driven with loyality spirit,

black africans mtaendelea kunyanyaswa hadi Yesu anarudi kwa akili zenu za ivo.
 
Wabongo wabanguzi sijawahi kuona, huyo kwani siyo binadamu? Tanzania kuna mashirika mangapi ya wazungu yanayo toa misaada bure ya kiafya Tanzania?

Ni bora kuzaliwa Mpumbuvu mwenye hekima na busara, kuliko kuzaliwa mwerevu asiye na hekima wala busara
wabongo ni watu wa ajabu sanaa....ndio maana hatuaminiki sehemu nyingi,
 
umejitokeza kuwaombea msaada? aua wao wamejitokeza kuonesha kuwa wanahitaji msaada? huyo jamaa albeity mpka social networks alikuwa anajidhalilisha kuwaomba watz msaada ili apate pesa ya matibabu lkn haikusaidia, leo dua zake Mungu kazipokea mnajitokeza watu kutaka kutia fitna...sio fair hlf kila mtu na rizki na bahati yake.
Well said mkuu huyu jamaa mimi nimeanza kumuona nadhani mwaka jana akina Ay wanamwombea msaada kule instagram.
Jamaa kaomba sana msaada, hata hivyo sote ni binadamu as long as ni msaada amepewa mwenye uhitaji haijalishi mweupe au mweusi.
 
kumbe hadi mkumbashe kupeana nafasiii....wenzenu weupe hawakumbushani kujaliana na kupendana na kuwa wazalendo they are automaticaly driven with loyality spirit,

black africans mtaendelea kunyanyaswa hadi Yesu anarudi kwa akili zenu za ivo.
Jamaa kweli ni nazi, embu mwambie pale Somalia kuna Wazungu ndiyo wanao shika bunduki kuwauwa Waafrica?

Congo kuna mzungu aliyeshika bunduki kumuuwa mwafrica? Au waafrica ndiyo wanao uwana wenyewe kwa wenyewe?
 
Tusidanganyane, mzungu akiona akili yako inalipa na unaenda na wakati anakuheshimu.
 
Weusi kibao wameletewa meli toka China hatukuongea mwarabu mmoja kupelekwa China imekuwa stori.
 
Back
Top Bottom