Wapo kama 1million nawajua ambao kama wangepata $40,000 wangepona ila hamna wakuwasaidiaunae ndugu yako mweusi ambae anataabika na unataka msaada wa makonda lakini amekutolea nje? mtafute mtu mweusi mwenye matatizo makubwa kiafya kisha mtafute makonda kwa msaada akikukatalia ndo uje kuandika haya maneno ukiwa na mifano hai na sio dhana kama ilivyo sasa hivi.
umejitokeza kuwaombea msaada? aua wao wamejitokeza kuonesha kuwa wanahitaji msaada? huyo jamaa albeity mpka social networks alikuwa anajidhalilisha kuwaomba watz msaada ili apate pesa ya matibabu lkn haikusaidia, leo dua zake Mungu kazipokea mnajitokeza watu kutaka kutia fitna...sio fair hlf kila mtu na rizki na bahati yake.Wapo kama 1million nawajua ambao kama wangepata $40,000 wangepona ila hamna wakuwasaidia
Ndo maana ni vigumu kuona mweusi akiwa sehem ya mamlaka akamnyanyua mweusi mwenziye kwa kumpa tenda atampa mtu wa rangi tofauti tuu ndo maana nchi yetu uchumi umetawaliwa kwa %80 na watu wenye ngozi ambazo siyo za kibantu. Huu ni ulemavu wa fikra. Weusi tunataka kuji prove kwa wenye rangi tofauti huku tukiacha wenzetu wanataabika. View attachment 642228View attachment 642229
Ungekuwa ulaya husingeongea pumba hizi we i dhahiri wa kijijini ndo mzungu akija kuulizia kitu wote mnajazana kutaka kumsaidia ila mweusi mwenzenu akiomba msaada mnampondaTuweke hizo za RC kando!! Kwani Hoja yako ni ipi?? Unataka mtu mweusi amsaidie mweusi mwenzie na kumuacha wa rangi nyingine?? .. kwako wewe ikitokea mtu mweusi na na wa rangi nyingine wanahitaji msaada basi kipaumbele apewe mtu mweusi kwanza sio?.. acha tu wazungu wamrushie maganda ya ndizi mtu mweusi!!
inawezekana kbs mtu mweusi angekua mbaguzi na roho ya kikatili sana kwa mtu mweupe kama mweusi angepewa hiyo power ya kiuchumi na kiakili.. Lkn waapi mungu ana makusudio yake!! kaepusha shari na kutupa umasikini na akili fupi za kumuwezesha kuvukia barabara na kuchati insta.. Mwafrika ana roho ya kichawi sana huyu kiumbe
Ungekuwa ulaya husingeongea pumba hizi we ni dhahiri wa kijijini ndo mzungu akija kuulizia kitu wote mnajazana kutaka kumsaidia ila mweusi mwenzenu akiomba msaada mnampondaTuweke hizo za RC kando!! Kwani Hoja yako ni ipi?? Unataka mtu mweusi amsaidie mweusi mwenzie na kumuacha wa rangi nyingine?? .. kwako wewe ikitokea mtu mweusi na na wa rangi nyingine wanahitaji msaada basi kipaumbele apewe mtu mweusi kwanza sio?.. acha tu wazungu wamrushie maganda ya ndizi mtu mweusi!!
inawezekana kbs mtu mweusi angekua mbaguzi na roho ya kikatili sana kwa mtu mweupe kama mweusi angepewa hiyo power ya kiuchumi na kiakili.. Lkn waapi mungu ana makusudio yake!! kaepusha shari na kutupa umasikini na akili fupi za kumuwezesha kuvukia barabara na kuchati insta.. Mwafrika ana roho ya kichawi sana huyu kiumbe
Angalia fox news ndo uone thamani ya mweusi kwa mzungu ikoje au nenda libya ndo utajua thamani ya mweusi kwa mwarabu ikoje. Tupeane nafasi sis kwanza ndo tuwape wengineTuweke hizo za RC kando!! Kwani Hoja yako ni ipi?? Unataka mtu mweusi amsaidie mweusi mwenzie na kumuacha wa rangi nyingine?? .. kwako wewe ikitokea mtu mweusi na na wa rangi nyingine wanahitaji msaada basi kipaumbele apewe mtu mweusi kwanza sio?.. acha tu wazungu wamrushie maganda ya ndizi mtu mweusi!!
inawezekana kbs mtu mweusi angekua mbaguzi na roho ya kikatili sana kwa mtu mweupe kama mweusi angepewa hiyo power ya kiuchumi na kiakili.. Lkn waapi mungu ana makusudio yake!! kaepusha shari na kutupa umasikini na akili fupi za kumuwezesha kuvukia barabara na kuchati insta.. Mwafrika ana roho ya kichawi sana huyu kiumbe
Hoja yake umeielewa?!Na wew je, we nj mfuasi wa Mange
Huyu bint mm hapana kiukwelHoja yake umeielewa?!
Kwa kumtaja taja tu nawe ni mfuasi wake!!
Acha ufafaTuweke hizo za RC kando!! Kwani Hoja yako ni ipi?? Unataka mtu mweusi amsaidie mweusi mwenzie na kumuacha wa rangi nyingine?? .. kwako wewe ikitokea mtu mweusi na na wa rangi nyingine wanahitaji msaada basi kipaumbele apewe mtu mweusi kwanza sio?.. acha tu wazungu wamrushie maganda ya ndizi mtu mweusi!!
inawezekana kbs mtu mweusi angekua mbaguzi na roho ya kikatili sana kwa mtu mweupe kama mweusi angepewa hiyo power ya kiuchumi na kiakili.. Lkn waapi mungu ana makusudio yake!! kaepusha shari na kutupa umasikini na akili fupi za kumuwezesha kuvukia barabara na kuchati insta.. Mwafrika ana roho ya kichawi sana huyu kiumbe
waafrica sijui waTz wanamatatizo sana...hapo ukute analalamika na hajawai hata siku moja kuanza hata kwny serikali ya mtaa wake au kata au wilaya.....leo kaona mwngine amepata hajui kiasi gani amepigana hadi kupata hiyo chance, aaah!umejitokeza kuwaombea msaada? aua wao wamejitokeza kuonesha kuwa wanahitaji msaada? huyo jamaa albeity mpka social networks alikuwa anajidhalilisha kuwaomba watz msaada ili apate pesa ya matibabu lkn haikusaidia, leo dua zake Mungu kazipokea mnajitokeza watu kutaka kutia fitna...sio fair hlf kila mtu na rizki na bahati yake.