Watu weusi tuna roho mbaya sana. Wenzako akipatwa na baya wewe ndio unafanya harusi

Watu weusi tuna roho mbaya sana. Wenzako akipatwa na baya wewe ndio unafanya harusi

mhogoz

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,428
Reaction score
2,414
1.Ni watu weusi ndio tulikuwa tunauza ndugu zetu utumwani,siyo waarabu.

Ni watu weusi ndio tunauuana hovyo hovyo kwenye bara hili la Africa.

Ndio tunaoongoza kwa uvivu na ulaghai .

Ndio tunaona ni Bora kuuza urith wetu kwa wengine,

Hatuna roho ya kutosheka kwa chochote,tunapobarikiwa hatuwezi kuwafanya wengine wafanikiwa badala yake tunataka watusifu kwa ukuu wetu Kila siku.

Hatujali maisha ya wengine ,hatujali kama wengine wanaumizwa na matendo yetu.

Wenzako akipatwa na baya wewe ndio unafanya harusi.
 
Back
Top Bottom