Nami nakupenda sana.Jamani nawapenda saana, yaani nikiwaga nimechoka akili ikihitaj kuburudika napitia JamiiForums kuna kila kitu
Hiyo nawapenda saana.
watu wote wa JF wangeitana kuja kwenye huu uzi iwapo kila mwanaume anayefika hapa ungekuwa unampa aidha busu la shavu au kumbato na kwa kina dada unawapa chocolat ya Bounty.
Basi hayo mahaba uliyo nayo juu ya wana JF yangekujaa na kufurika mara kedekede bin mingimingi.
Ukimuona Le Big Sam ODM mwenyewe utamsabahi.
Mwambie kifaa chake alikisahau kwangu nnacho.
K' Matata.
Bathi thawa dada.Thithipae bhna
Upo vizuri Auntwatu wote wa JF wangeitana kuja kwenye huu uzi iwapo kila mwanaume anayefika hapa ungekuwa unampa aidha busu la shavu au kumbato na kwa kina dada unawapa chocolat ya Bounty.
Basi hayo mahaba uliyo nayo juu ya wana JF yangekujaa na kufurika mara kedekede bin mingimingi.
Ukimuona Le Big Sam ODM mwenyewe utamsabahi.
Mwambie kifaa chake alikisahau kwangu nnacho.
K' Matata.
Itakuepo mamaa, njoo kwanza nikupe mchanganuoWacha weee,na yakutolea ipo?
Una nini kiunoni kinakusumbua?Jamani nawapenda saana, yaani nikiwaga nimechoka akili ikihitaj kuburudika napitia JamiiForums kuna kila kitu
Hiyo nawapenda saana.