Watu wote wa JamiiForums pitia hapa

Watu wote wa JamiiForums pitia hapa

Wataka busu jomon!!
watu wote wa JF wangeitana kuja kwenye huu uzi iwapo kila mwanaume anayefika hapa ungekuwa unampa aidha busu la shavu au kumbato na kwa kina dada unawapa chocolat ya Bounty.

Basi hayo mahaba uliyo nayo juu ya wana JF yangekujaa na kufurika mara kedekede bin mingimingi.

Ukimuona Le Big Sam ODM mwenyewe utamsabahi.

Mwambie kifaa chake alikisahau kwangu nnacho.

K' Matata.
 
Fursa kwa mabaharia inabidi tuichangimkie hii..
 
Kama unatupenda kweli uwe unakuja ukiwa hujachoka,,,
Kwan umetuona cc ndo wa kutolea uchovu[emoji849][emoji849]
 
watu wote wa JF wangeitana kuja kwenye huu uzi iwapo kila mwanaume anayefika hapa ungekuwa unampa aidha busu la shavu au kumbato na kwa kina dada unawapa chocolat ya Bounty.

Basi hayo mahaba uliyo nayo juu ya wana JF yangekujaa na kufurika mara kedekede bin mingimingi.

Ukimuona Le Big Sam ODM mwenyewe utamsabahi.

Mwambie kifaa chake alikisahau kwangu nnacho.

K' Matata.
Upo vizuri Aunt
 
Back
Top Bottom