Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa taarifa Baharia wa BuzaJaman nawapenda saana,yaan nkiwaga nmechoka,akili ikihitaj kubrudika napitia jamii forum kuna kila kitu
Ivyo nawapenda saana
Gongo unatumia[emoji848]?Jaman nawapenda saana,yaan nkiwaga nmechoka,akili ikihitaj kubrudika napitia jamii forum kuna kila kitu
Ivyo nawapenda saana
Dah.... source?[emoji2960]Jaman nawapenda sana,yaani nikiwaga nimechoka,akili ikihitaji kuburudika napitia JamiiForums kuna kila kitu, hivyo nawapenda saana.
Ni pombe aina ya vodka iliyovundikwa kwa majani ya vitunguu swaumuNdio Nn ?
Yap,halafu ikichanganyikana na mawazo ya Corona na maandamano ya Marekani basi mtu huaribikiwa sana.Tena!!!
Dah hilo swali lako ukichanganya na avatar yako basi burudani tupu!Gongo unatumia[emoji848]?
[emoji850]Dah hilo swali lako ukichanganya na avatar yako basi burudani tupu!