Watu wote wanaomsema vibaya Hayati Magufuli ni waongo wakubwa

Watu wote wanaomsema vibaya Hayati Magufuli ni waongo wakubwa

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Huhitaji kuwa masters degree kulielewa hili, hawa ndo watu waongo kupindukia maana hawataki kusema ukweli.

Mtu yoyote anayemsema vibaya jemedali wetu kaa naye mbali sana ni muongo na mnafiki mkubwa.

What they do is "Appreciate Magufuli in private and spoil him in public" ogopa Sana hao viumbe ni wachonganishi wakubwa.
 
Hawezi kurudi tena Mungu alinusuru hili Taifa kwa kumtoa mapema huyu jama alikua amefikisha hili taifa pabaya, ali vuruga tasisi zote na mifumo yote ya serkali, tz ikawa 'one man's state'
 
Yule mwamba achana naye kabisa

Nakumbuka Ile 2015 Baada ya kuapishwa alijichimbia Dodoma huku akiendesha nchi bila ya mawaziri na mambo yakawa yanaenda Kwa nizamu ya hari juu na ukileta uzembe unatumbuliwa

Lakini kitu ambacho nimebaki na maswali Hadi Leo aliwezaje kuthibiti ujambaazi na ajali za barabarani maana wakati anachukua nchi rate ya ujambaazi na ajali za barabarani ilikuwa ipo juu sana

R.I.P Jembe langu
 
Haihitaji Akili kubwa kuwajua nyie wachache mnamatatizo ya Afya ya akili.
... Mnataka kila. mtu awaze ma kufikiri kipopoma kama nyie! [emoji15]

Kama Manabii na miungu wanasemwa mazuri na vibaya
Why huyo magu!? [emoji848]
kwa kuwa aliwaaminisha kuwa akifa atakuwa malaika mkuu!? [emoji2368]

Acheni kutujazia mikeka ya kipopoma humu jf
kama mnateseka kiasi hicho si bora mwende mkazikwe naye kule......
Acheni kutuchosha..........
 
Watu wasiojulikana wamemuharibia sana Magufuli, vinginevyo angekua bonge la rahisi. Sijui kwanini jamaa alikua hapendi kukosolewa, angewaacha tu wapige domo kuliko kuwapoteza
 
Back
Top Bottom