The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hawezi kurudi tena Mungu alinusuru hili Taifa kwa kumtoa mapema huyu jama alikua amefikisha hili taifa pabaya, ali vuruga tasisi zote na mifumo yote ya serkali, tz ikawa 'one man's state'Huhitaji kuwa masters degree kulielewa hili, hawa ndo watu waongo kupindukia maana hawataki kusema ukweli.
Mtu yoyote anayemsema vibaya jemedali wetu kaa naye mbali sana ni muongo na mnafiki mkubwa.
What they do is "Appreciate Magufuli in private and spoil him in public" ogopa Sana hao viumbe ni wachonganishi wakubwa.