Watu wote wenyeakili wanajua; Mipango yao ime fail, CCM inazidi kuwa imara, Kidumu Chama cha Mapinduzi (Jipangeni tena for 25 years)

 
 

Attachments

  • 9b5695a2c814787449ba3e1c6a28d915.mp4
    3.9 MB
  • 807385ecbacd02a24b52b03c5c696267.mp4
    7.2 MB
Mwana TANU makini na mwanaccm makini hawezi kubali kuona miili ya watu imelundikana mwananyamala!

Ndio maana tunaimba wimbo wa mariadhiano,kama mambo ni safi tunaridhiana Ili tupate nini!!?
 
Wasseenge wengine, sasa hapa umeleta jipya gani zaidi ya uchawa na uzwazwa? fwaki yuuu
 
Hadija Kopa wewe baki tu kuimba taarab. Siasa waachie akina Lissu na Heche.
 
Sio mbaya kujipa moyo.

Sisiemu,kama ina nguvu hiyo iweke uchaguzi huru na haki.
 
Umesikika Luca Mushamba Bee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…