Hahahaha. . .Natamani ningemuona huyo mama akiwakata hao watu ulimi.lizzy hii issue imenichekesha maana nimekumbuka tukio la mama mmoja stend kuwashushua waliokuwa wanamwambia amnyonyeshe mtoto wale aliyekuwa analia, sio siri mi pia huwa naboreka sana mtu kunielekeza kuhusu mtoto wangu
Juzi kwenye daladala madingi walimkomalia mdada anyonyeshe mtoto aliyekuwa analia...
Nadhani hata yule jamaa aliyepatwa na shutuma ya kumpa mtoto dudu kila akilia itakuwa naye alikuwa akiambiwa amyonyeshe akiliaHahaha! Umenikumbusha kny daladala pia kuna mzee aliambiwa ampe mtoto nyonyo wakati mtoto analia alafu yeye Dume
Hahahaha. . .Natamani ningemuona huyo mama akiwakata hao watu ulimi.
Inaboa sana mtu kujifanya anajua kitu asichokijua.