Watu8 na FaizaFoxy wako wapi?!

Watu8 kazidiwa na majukumu alizaa watoto nane alidhani mchezo anatafuta pesa Kama mwehu
 
Watu8 yuko na Nissan nyeupe ambayo haina tint.. nilipishana nae namanga eneo la mbuyuni miaka mingi iliyopita.

Siku hizi anajulikana kama Msafiri.......

Usiniulize nimejuaje. ...
 
Serious au joke ? Hawezi kuwa mwalimu bana uwelewa wake na exposure ni mpana mnoo tofauti na walimu wengi walivyo
Kama sikosei kuna sehemu alisema amesoma mambo flani ya sayansi na teknolojia huko Asia Malaysia au Indonesia.

Itakuwa IT au Telecom.
 
Acha kudharau walimu
Wewe ulifundishwa na wazazi wako au walimu
Wafanyakazi nchi hii ni kada nyingi ila mei mosi ni walimu pekee walioimba kwaya na kukata viuno still jpm akawapiga chini maombi yao
 
Tatizo LA faiza alikuwa pro ccm sana sasa jiwe linachemka kuendesha nchi faiza anashindwa kuipenda na kuitetea ccm kama alivyokuwa anafanya enzi za jk
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji109] [emoji109]
 
Faiza alikua mwalimu wa kiswahili pale Jangwani. Kaolewa na kuhamishiwa Njombe mwanzoni mwa mwaka huu. Nadhani kibaridi cha Njombe na mume mpya vinamnyima muda wa kuchangia.
Ukileta uzi unaohusu muktadha wa lugha ya kiswahili ataibuka
Katika moja ya maswali aliyowahi kujibu huko nyuma alisema yuko nje ya nchi, aliisharudi!
 
Faiza alikua mwalimu wa kiswahili pale Jangwani. Kaolewa na kuhamishiwa Njombe mwanzoni mwa mwaka huu. Nadhani kibaridi cha Njombe na mume mpya vinamnyima muda wa kuchangia.
Ukileta uzi unaohusu muktadha wa lugha ya kiswahili ataibuka
Hatimaye kaolewa tena... Inshallah Mungu mkubwa... It is never too late
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…