Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sikosei kuna sehemu alisema amesoma mambo flani ya sayansi na teknolojia huko Asia Malaysia au Indonesia.Serious au joke ? Hawezi kuwa mwalimu bana uwelewa wake na exposure ni mpana mnoo tofauti na walimu wengi walivyo
na [HASHTAG]#Ruby[/HASHTAG]Na Lara1 yupo wapi?
Acha kudharau walimuSerious au joke ? Hawezi kuwa mwalimu bana uwelewa wake na exposure ni mpana mnoo tofauti na walimu wengi walivyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji109] [emoji109]Tatizo LA faiza alikuwa pro ccm sana sasa jiwe linachemka kuendesha nchi faiza anashindwa kuipenda na kuitetea ccm kama alivyokuwa anafanya enzi za jk
Katika moja ya maswali aliyowahi kujibu huko nyuma alisema yuko nje ya nchi, aliisharudi!Faiza alikua mwalimu wa kiswahili pale Jangwani. Kaolewa na kuhamishiwa Njombe mwanzoni mwa mwaka huu. Nadhani kibaridi cha Njombe na mume mpya vinamnyima muda wa kuchangia.
Ukileta uzi unaohusu muktadha wa lugha ya kiswahili ataibuka
Kweli yupo, naona zile bashasha zake zimepungua sana siku hizi, huenda ulezi wa wajukuu unamshughulishaMaswali matatu ambayo atheist wanashindwa kuyajibu kwa usahihi
Angalia post no304 ni yake alafu ni mwezi huu huu, huwa yupo sema hana mbwembwe...
[emoji23] [emoji23]Kweli yupo, naona zile bashasha zake zimepungua sana siku hizi, huenda ulezi wa wajukuu unamshughulisha
Hatimaye kaolewa tena... Inshallah Mungu mkubwa... It is never too lateFaiza alikua mwalimu wa kiswahili pale Jangwani. Kaolewa na kuhamishiwa Njombe mwanzoni mwa mwaka huu. Nadhani kibaridi cha Njombe na mume mpya vinamnyima muda wa kuchangia.
Ukileta uzi unaohusu muktadha wa lugha ya kiswahili ataibuka
Jingalao limezidi!Faizafox alikua na kazi ya kumsafisha na kumtetea jk... Jk amestaafu na kazi imeisha...
Kama ilivyo akina jingalao, cocochanel wanavyo haha kumtetea na kumsafiaha jiwe humu jf kwa sasa...
Hahah!!Kweli yupo, naona zile bashasha zake zimepungua sana siku hizi, huenda ulezi wa wajukuu unamshughulisha