Watu8 na FaizaFoxy wako wapi?!

Watu8 na FaizaFoxy wako wapi?!

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hebu tafakari member waliokuwa maarufu kipindi hicho ila kwa sasa hawasikiki tena watu nane na faiza foxy ni kati ya member ambao hawapo kwa muda sasa hebu tutumie Uzi huu kuwakumbuka na wengine ambao hawaonekani jf ili tujue wametwaliwa au tungali nao humu duniani
 
Faiza alikua mwalimu wa kiswahili pale Jangwani. Kaolewa na kuhamishiwa Njombe mwanzoni mwa mwaka huu. Nadhani kibaridi cha Njombe na mume mpya vinamnyima muda wa kuchangia.
Ukileta uzi unaohusu muktadha wa lugha ya kiswahili ataibuka
 
Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa na historia ya nchi yetu kwa muda mrefu sasa katika vyombo mbali mbali vya hbr. Nimegundua mambo kadhaa kutoka kwa waandishi na wadau wake. Wengi baadhi ya waandishi na baadhi ya wadau wa habari wamekuwa wakichambua mambo ya siasa na utawala wa nchi yetu kwa kutosimamia ukweli na uhalisia. Wengi hugemea au kupendelea upande wa dini au kabila waliko wao. Hata kama upande huo una haribu nchi wao hujifanya hawaoni. Kwa hiyo hata humu JF kuna watu sasa hivi wanaiponda au kutoiunga mkono serikali iliopo madarakani jwa sababu sio watu wa imani moja au kabila moja. Na pia kuna wengine wanaiunga mkono sio kwamba inafanya vizuri bali ni kwa kuwa tu ni wamoja ktk dini au kabila. Tukitaka kwenda mbele kama nchi tubadilike tuache unafiki. Nyeusi tuseme nyeusi na nyeupe isemwe tu kuwa nyeupe bila kuogopa wala kupendelea.
 
Faiza alikua mwalimu wa kiswahili pale Jangwani. Kaolewa na kuhamishiwa Njombe mwanzoni mwa mwaka huu. Nadhani kibaridi cha Njombe na mume mpya vinamnyima muda wa kuchangia.
Ukileta uzi unaohusu muktadha wa lugha ya kiswahili ataibuka
Serious au joke ? Hawezi kuwa mwalimu bana uwelewa wake na exposure ni mpana mnoo tofauti na walimu wengi walivyo
 
Hata ukiwa Bibi still kuna kuzeeka zaidi, sasa siwaelewi unapomuulizia yule bibi unategemea bado ananguvu ya kuingia kwenye majukwaa?!
 
Faiza alikua mwalimu wa kiswahili pale Jangwani. Kaolewa na kuhamishiwa Njombe mwanzoni mwa mwaka huu. Nadhani kibaridi cha Njombe na mume mpya vinamnyima muda wa kuchangia.
Ukileta uzi unaohusu muktadha wa lugha ya kiswahili ataibuka
Kuna miaka flani nilipiga tempo la mda mfupi pale jangwani huenda nilimuona lakin sikumjua

Pale namkumbuka madam ciara na madam rose wote wa chemistry
 
Back
Top Bottom