barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Juzi, jana na leo...Napenda kumuulizia huyu mdau... Simuoni Humu jamvini
aisee...jambo lakini wewe!Kabadilisha user name
username ni ile ile...hakuna kilichobadilishwaAnatumia ipi siku hizi?
nshajitokeza hebu chap chap sogea karibu tupige selfie...Watu8 popote ulipo jitokeze huku nasi tukufahamu.
weeee....hebu ntake radhi...Huenda yupo Kolomije
halafu weweeee...
Amina...umenena vyema, amani ya bwana iwe nawe
njoo unchungulie...Hivi ni jinsia gani yule?
Huyu hapa.....halafu weweeee...
best niaje aisee...bila shak u kheri wa afya
Tumekumissaisee...jambo lakini wewe!
Usirudie kwakweli, hata hivo huenda hujakosea. [emoji12]Tumekumiss
sio kwa kuniumbua huku[emoji23]
Sikubali hii aibu ya uzushi[emoji23][emoji23]Kalog in kwa ID ya zamani etiii...Usirudie kwakweli, hata hivo huenda hujakosea. [emoji12]
Heshima yako mkuu....Best nimekumiss sana.... Mimi ni mzima ki afya...
Wewe uko poa ?