Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mtag uyo jamaa ili iweje?
Safi sana mkuunshajitokeza hebu chap chap sogea karibu tupige selfie...
Huenda kabadili IDNapenda kumuulizia huyu mdau... Simuoni Humu jamvini
Nipo kama milango ya pikipiki vileUpo bro....?
Douta hebu baulize bana...Mnamtakia nn daddy angu?
Shaka ondoa mkuu...Karibu sana watu8, naona majukumu yamekuwia mengi.
Basi usikose kutupia moja moja humu ndani.
Michango yako ni ya muhimu.
Asante
Bila shaka utakuwa unahusika na kupotea kwa watu8 bibie.
Kumbe watu 8 ni dumeUpo bro....?
we ulidhani hana jinsia?Kumbe watu 8 ni dume
Bro umerudi ghaflawe ulidhani hana jinsia?
Hapana nilidhani we ni ke mwenzangu samahanwe ulidhani hana jinsia?
Douta hebu baulize bana...
Mzima weye?
Pole douta kwa kum'miss daddy ako...hebu ngoja nikuje chap chapMzima daddy, nakumiss ujue? Njoo kulee.....
Khaaaa....sasa mbona hukuwahi kunialika mitoko ya kishostito...Hapana nilidhani we ni ke mwenzangu samahan
kwa sababu kagusa wizara nyeti....Bro umerudi ghafla