..upande wa mashtaka umetoa majina ya wananchi 17 watakaotoa ushahidi dhidi ya Mramba,Yona,na Mgonja.
..kati yao yume Maria Kejo ambaye amekuwa akitajwa sana ktk kashfa ya IPTL.
..pia yupo Bashiri Mrindoko ambaye aliandikwa vibaya ktk ripoti ya Tume ya Dr.Mwakyembe.
..I hope hawa mashahidi hawatavurugwa huko mahakamani kutokana na matatizo yao ya IPTL na RICHMOND.
NB:
..kwa upande mwingine naona kama kesi hii ni ngumu sana kwa wakina Mramba. sitashangaa kama wote watapatikana na hatia.