Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kushirikiana na Sabaya mbaroni

Dah huyu jamaa ana roho mbaya mnoo adse
 
Huyu karithi kutoka kwa baba yake mzazi.
Kwel mkuu ..nlishawai kuskia story ya baba ake pindi akiwa mkuu wa wilaya ya Serengeti ..akachomea watu nyumba ...then akahamishiwa mkoa wa songea kipindi kile cha mkapa
 
Tupe wasifu wa baba yake mzazi mkuu maana sio kawaida?
Nimeusahau kwa urefu

Ila aliwahi kuwa mkuu wa wilaya ya Serengeti miaka ya 2000 kipindi cha Big Ben akaanza operation ya kufukuza watu na kuchoma nyumba alizodai zimo kwenye hifadhi ya mbuga ya Serengeti ambapo waliopona kuna waliokimbia na wengine wakakamatwa na kupakizwa kwenye malori ya serikali na kupelekwa Kenya wakituhumiwa kuwa sio Watanzania ambako rais Kibaki aliwakataa kuwatambua kuwa ni Wakenya. Akahamishwa baada ya madhira yale.
 
Inaelekea chain ni ndefu kama bado wanakamatwa mpaka leo!!!
 
Huyu sabaya yafaa akorogewe uji wa cement Kisha anye

Hata yule Bibi akukosea kutaka kumla nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…