mweusi asili
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 2,035
- 3,358
mi nadhani ugaidi Tanzania una maana tofauti sio ile tunayoijua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti gaidi wetu Mbowe alikua eti amepanga kukata miti mabarabarani, sijui ni Ugaidi wa aina gani huo.mi nadhani ugaidi Tanzania una maana tofauti sio ile tunayoijua
Umesikia popote mahakamani Polisi wakikiri kwamba "Ni kweli tulikupiga Adamoo ili utupatie ukweli ambao tunaruhusiwa kisheria kuupata kwa njia yoyote?". Kama hao polisi walifanya kwa nia njema kwa nini sasa wanaidanganya mahakama kwamba hawakuwagusa bali walitoa maelezo kwa hiari yao?Kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi iwapo ni kweli alihusika, ila kama alipigwa na kuteswa na polisi wakageuza uongo uwe kweli hapo ndipo itakataa kupokea huo ushahidi.
Kesi ya Mbowe na wenzake inaendelea naona wafuasi waCdm wanashupaa sana kudhania kuwa watuhumiwa wenzake na Mbowe kutoa maelezo kuwa walipigwa na kuteswa itakuwa ni sababu ya kutotenda kosa. Ni wazi kuwa mtu anatakiwa akiri kosa kwa hiari kama kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi inavyosema.
Lakini kama akikiri kwa lazima alafu ikawa kweli alitenda kosa basi hapo kuna hatia. Je, wakati hizi kesi ndogo juu ya kesi kubwa zikiwndelea na tuhuma za kupigwa na kuteswa zikiibuka, Je hawakushiriki kipanga kulipua vituo vya mafuta?
Factum probandum?
Kwa askari Mabeyo ni CDF mbovu, mkabila na asiyejali masilahi ya askari kuliko CDF yeyote tangu Uhuru.Vijana wanahasira mi hadi naogopa sijui na Mabagao anasepa next yr feb/march
Tusomee na wewe ambapo kifungu hicho kinafanya kazi zaidi ya submission of exhibits?Mkuu soma vizuri kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi.
Mfano mtu anatuhumiwa kwa ujambazi wa siraha, anafikishwa kituo cha polisi, anapigwa na kuteswa anakubali na anawapeleka polisi alipoficha siraha na vitu alivyoiba. Ikikifaka mahakamani itakuwaje?
Yaani Jiwe alikuwa mtawala mbovu sana hata wateule wake wakawa wabovu kuliko waliowatangulia.Kwa askari Mabeyo ni CDF mbovu, mkabila na asiyejali masilahi ya askari kuliko CDF yeyote tangu Uhuru.
Msuguri general wa kweli hakupenda ujinga huuKwa askari Mabeyo ni CDF mbovu, mkabila na asiyejali masilahi ya askari kuliko CDF yeyote tangu Uhuru.
Mr 2g muoga sanaKwa askari Mabeyo ni CDF mbovu, mkabila na asiyejali masilahi ya askari kuliko CDF yeyote tangu Uhuru.
Mbona mahakama yenyewe kwenye kesi hii haitafsiri Sheria inatoa maoni yake pekee bila kuangalia sheria.Tuiachie mahakama kazi ya kutafsiri sheria
Ungekuwa na akili, ungeanza kwanza kujiuliza hivi, inakuwaje jeshi la polisi linaanzia kufanya ukamataji kabla ya kujiridhisha na tuhuma walizonazoKifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi iwapo ni kweli alihusika, ila kama alipigwa na kuteswa na polisi wakageuza uongo uwe kweli hapo ndipo itakataa kupokea huo ushahidi.
Kesi ya Mbowe na wenzake inaendelea naona wafuasi waCdm wanashupaa sana kudhania kuwa watuhumiwa wenzake na Mbowe kutoa maelezo kuwa walipigwa na kuteswa itakuwa ni sababu ya kutotenda kosa. Ni wazi kuwa mtu anatakiwa akiri kosa kwa hiari kama kifungu cha 27 cha sheria ya ushahidi inavyosema.
Lakini kama akikiri kwa lazima alafu ikawa kweli alitenda kosa basi hapo kuna hatia. Je, wakati hizi kesi ndogo juu ya kesi kubwa zikiwndelea na tuhuma za kupigwa na kuteswa zikiibuka, Je hawakushiriki kipanga kulipua vituo vya mafuta?
Factum probandum?
Hivi ile conference ilikuweje mazee?. Nilikuwa nje ya maeneoUnajua press ya juzi,JWTZ wamebadili gia angani,walichopanga kuongea sicho walichokiongea,unapotaja "Makomandoo" maana yake ni "Highly trained soldiers".....kwa muktadha huu wa kesi ya Mbowe na ushahid unaotolewa na hawa Makomandoo wetu,jua tu hali si shwari....UTANIELEWA MWAKANI.
Unataka CDF afanye nini?Kwa askari Mabeyo ni CDF mbovu, mkabila na asiyejali masilahi ya askari kuliko CDF yeyote tangu Uhuru.
CDF anaingiaje hapa? CDF anahusikaje kwenye hii kesi?Yaani Jiwe alikuwa mtawala mbovu sana hata wateule wake wakawa wabovu kuliko waliowatangulia.
Ona Mabeyo na utendaji wake? Ona Sirro na utendaji wake? Huko nyuma hakujawahi kuwa na wateule walio dhalilisha vyombo hivyo vya dola kama wateule hao.
Kweli Mungu kazi yake haina makosa!
Nilivyomuelewa mimi, ameilalamikia CDF jinsi inavyowahudumia maaskali wanaopata matatizo wakiwa kazini na jinsi inavyowaondoa kazini na wakipata matatizo ambayo hayana hutbibitisho CDF haiwasaidiiCDF anaingiaje hapa? CDF anahusikaje kwenye hii kesi?
Kama hujui anatakiwa afanyeje na yeye hajui afanyeje unataka tukusaidie nini? Kipi kilivhoandikwa ambacho hakieleweki?Unataka CDF afanye nini?
Wewe nimekuelew, mwulize tena, "Je CDF ana uhalali wa kuingilia hii kesi ili makonandoo wake wasitiwe hatiani?"Nilivyomuelewa mimi, ameilalamikia CDF jinsi inavyowahudumia maaskali wanaopata matatizo wakiwa kazini na jinsi inavyowaondoa kazini na wanaopata matatizo ambayo ayana hutbibitisho CDF haiwasaidii
Nijibu tu mkuu na mimi nielewe.Kama hujui anatakiwa afanyeje na yeye hajui afanyeje unataka tukusaidie nini? Kipi kilivhoandikwa ambacho hakieleweki?
Hana uhalali huo. Je, iwapo kesi imekwisha na ikaonekana kila kitu ni uhongo hakukuwa na tuhuma za ugaidi, je, atakuwa bado hana uhalali wa kuchukua atua yoyote Ile maana taswila ya JWTZ litakuwa imealibiwa maana Kuna askali ambao bado wapo kazini walikamatwa kwa tuhuma hizo za ugaidiWewe nimekuelew, mwulize tena, "Je CDF ana uhalali wa kuingilia hii kesi ili makonandoo wake wasitiwe hatiani?"
Wewe kwenye kesi ya Sabaya kila kukicha ulikuwa unaianzishia uzi kwamba kaonewa na atatoka. Alipopigwa mvua 30 ukapotea. ... Leo umegeukia huku, utapotea tena..!!!Kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi iwapo ni kweli alihusika, ila kama alipigwa na kuteswa na polisi wakageuza uongo uwe kweli hapo ndipo itakataa kupokea huo ushahidi.